Dhambi gani tena? Dunia hii dhambi ipo? Watu wanauana huko,Mungu wenu anaona poa tu. Huku hamna. Mnazazagamuana mnaburudika,eti dhambi. Ndo maana vitoto vya siku vinawaiga,na vikiona haina shida,vinaambizanaSi rahisi kwa ngamia kupita kwenye tundu la sindano....
Si rahisi kwa tajiri kuuingia ufalme wa mbinguni....
Ni rahisi kusoma maelekezo kuliko kutenda....
Imeandikwa, mtawatambua kwa MATENDO YAO.
Sinaga chuki na mtu/watu walionikwaza na kunikera kwenye hili tufe. Kiuhalisia wapo, nasamwhw chapu na kuacha wapite hivi....
ILA, sijafanikiwa kuwapenda kwa kuwaombea mema, maana yake siwaombei mabaya, siwachukii wala hawako hata kwenye maisha yangu na wakijileta karibu yangu kwa namna moja au nyingine... sicheki na KIMA, uso wa mbuzi, uso wa kazi...
Unahitaji nini, kama naqeza kufanya nafanya siwezi pita kule dunia ina watu wengi sana hii watakusoti tuu.
Sitakagi shari na sipendi purukushani.
Binafsi nina huo udhaifu sijui kama natenda dhambi ila simtambui kama adui yangu sababu nilishamsamehe ila siwezi sahau aliyonifanyia na lumbukumbu ya matendo yake kwangu huwa uzio wa kukaa nae mbali.
Kaa huko nami huku amani iwepo.
Nisamehewe bure tuu kwa hiyo dhambi.
🤣🤣🤣🤣JamaniWoi mimi silindi mtu
Huu ni wakati mzuri sana.😂😂Tamba shosti tambaa wakati wako huu
🤣🤣🤣🤣Nilikwambia ngoma ya mtoto haikeshi!oooh Mimi kijana,dada umezeeka unaona Sasa...wote wawili ninao tatizo yule mmoja ana wivu sanaVina muda basiiii
Huwa mnakataa usawa ila kwenye mambo kama haya mnataka kujilinganisha na wanawake, yani kila mnachotoa/mnachofanya kwa wanawake basi mnataka nao watoe/wafanye vivyo hivyo kwenu sasa huo utofauti kati ya mwanaume na mwanamke uko wapi, basi acheni tu wanawake wadai usawa kama mambo yenyewe ndio hayoKwahiyo nyie wanawake kwenye mahusiano mmejiwekea kuwa ni watu wa kufanyiwa tu, nyie hamfanyi chochote Kasie
Acha kudanganya siku hizi hakuna mapenzi ya dhati kila mtu anaingia kwenye mahusiano kwa maslahi yake binafsi, hapo unakuta una msururu wa wanawake ambao wote unatongoza na kuwaambia unawapenda maana huwa mnasema wenyewe kwamba "mwanaume hawezi kuwa na mwanamke mmoja" sijui "mwanamke akizingua piga chini tafuta mwingine", sasa kwa hali hiyo mnataka wanawake waingie wazima kwenye mahusiano hapana nao lazima wajihamiNimeishia hapo uliposema jinsia ke akikubali vile umempenda, umemjali na kumlinda atakutii,
Hapo inategemea, mwanamke anachojali ni hisia zake kwako, ke hajali kabisa kama umemnunulia gari, umempa Figo kuokoa maisha yake, umemaliza miezi 59 kumtongoza, umemsomesha chuo, ke hajali unampenda kiasi gani, ke hata umpende vipi na kusacrifice vipi kwa ajili yake, kama tangu mwanzo alikuwa anakuona nyani ataendelea kukuona nyani tu, kwanza ke wengi wa sahivi ukiwaambia unawapenda, hata kama ni ukweli, kichwani watakuona wewe ni muongo na mnafiki unaetaka kula papuchi halafu utembee, kumbe kiuhalisia unampenda kweli Kasie