Si haki sawa!? Na sie tubebwe sasa humo humo. Tena nimeshajua ni tenga si bajaj tena🤣🤣🤣🤣Utajua hujui!kwanza wenzio wanapenda hatari
Si haki sawa!? Na sie tubebwe sasa humo humo. Tena nimeshajua ni tenga si bajaj tena🤣🤣🤣🤣Utajua hujui!kwanza wenzio wanapenda hatari
Wanapenda ehhhh sawa tu . Acha wapende. Vingine vyote si umeshauza kimebaki tu kimoja( kama atakula kavu au anywee chai mi sijui bhaana?.🤣🤣🤣🤣Utajua hujui!kwanza wenzio wanapenda hatari
Wala. Umeutizama mwaka wake wa kuzaliwa lakini? 19999!!! Sema tu mi sijui kama si jini hapo au picha mkononiKwamba unataka nipewe kesi ya ubakaji mama?🤣
Huyo namjua vizuri!!!Umeuona mwaka wake wa kuzaliwa lakini?
Hao ni chosen one!!!usiingilie mahaba yetu Tafuta chimbo lakoSi haki sawa!? Na sie tubebwe sasa humo humo. Tena nimeshajua ni tenga si bajaj tena
Jifanye mkongwe. Dunia nzima hakuna mkubwa kama yeye. So,sijui na unga umeshakuwa porofeshono😂😂😂😂😂Huyo namjua vizuri!!!
Jidanganye. Niwe mamba,niwe kenge,niwe mjusi, nimo tuuuuHao ni chosen one!!!usiingilie mahaba yetu Tafuta chimbo lako
Shindwaaa sipashagi makabichi 🤣🤣🤣Nitarudi kwako?🤣
Hili sio kabichi, hii ni burger🤣🤣Shindwaaa sipashagi makabichi 🤣🤣🤣
Vp kipengere cha pesa dada angu?Habari za muda huu,
Rejea kichwa cha uzi, kinaongea kwa mapana ila yaliyopo kwenye akili yangu yako kwenye nyanja tofauti tofauti.
1. Mwanaume kumjali jinsia ya kike yeyote yule aliyempenda.
Baba mzazi/mlezi kwa binti yake:
Kuna wababa asisikie au kujua binti yake ametendwa isivyo, yuko radhi ache kila kitu ila usalama wa binti yake kwanza.
Mume kwa mkewe:
Mwanaume akisikia au kujua kuna wanaotaka mdhuru mke wake huwa mbogo na hacheki na kima mbele ya mkewe wala kuleta matani. Achana na wivu kuna ile kumlinda bila kuwa na mtutu wa bunduki...
Kaka kwa dada wa damu (sibling):
Kaka wote wanaojielewa hawakotayari kuona dada yake/zake wanapata tabu. Awe mkubwa ama mdogo, atapambana kuhakikisha dada yake/zake wanakuwa salama.
Mtoto wa kiume kwa mama mzazi:
Hapa wanaume wenyewe mtaongea zaidi, ila iko asili sio tuu mapenzi makubwa yako kwa mama mzazi ila hata kuhakikisha mama hapati shuruba, hateseki yaani ile kumkingia kifua kwa namna yeyote ile...
Kiasili mwanaume ana mabavu kumzidi mwanamke, misuli na nguvu za ziada zipo kwa sababu maalum. Ukiacha kupigana na ubabe, kazi kubwa ni kutoa ulinzi.
Hakuna kitu mwanamke anapata tulizo la akili kama akijua ndani yuko ya mtu anaweza mkingia kifua kwenye jambo lolote lile hata kama sio la hatari...
Kale kahisia kuwa kuna sauti nene inakoromea shambulio lolote lile linaloelekezwa kwenye paa lenu bila ugomvi ila kwa hekima na umakini na msisitizo usio wa mchezomchezo.
Si wanawake wote ni wadau wa mambo za kuwa (protected), ila kuna raha yake... ni asili.
Ukiona hajali, hajisumbui nawe, hajihusishi na mambo yako, haimhusu uko salama ama hauko salama...
Tambua tuu kuwa haupo kwenye himaya yake ya anaowapenda.
Ngumu kukubaliana na uhalisia ila bora kuchukua njia mapema utabaki salama hadi pale atapotokea wa kukujali.
Hiyo ni upande mmoja, kurudisha majibu ya kuwa ulinzi wako umekubalika na unatambulika ni kukuheshimu.
Jinsia ya KE akikubali vile umempenda, umemjali na kumlinda, atakuheshimu na ATAKUTII.
Huu mjadala ni mpana sana ila akili yangu ililenga hapo kwa ME kumpenda, kumjali na kumlinda KE.
Wasalaam,
Kasinde Matata.
Kwani we King'ang'a?Jidanganye. Niwe mamba,niwe kenge,niwe mjusi, nimo tuuuu
Ndo nini!!Kwani we King'ang'a?
Upokelewe mbinguni na matarumbeta!Acha kudanganya siku hizi hakuna mapenzi ya dhati kila mtu anaingia kwenye mahusiano kwa maslahi yake binafsi, hapo unakuta una msururu wa wanawake ambao wote unatongoza na kuwaambia unawapenda maana huwa mnasema wenyewe kwamba "mwanaume hawezi kuwa na mwanamke mmoja" sijui "mwanamke akizingua piga chini tafuta mwingine", sasa kwa hali hiyo mnataka wanawake waingie wazima kwenye mahusiano hapana nao lazima wajihami
Umeanza na wewe sasa. Mbinguni mnapajua nyie? Badala ya baa,makaburini na vichakani huko, unawaombea wapokelewe kusikojulikana? Acha roho mbayaUpokelewe mbinguni na matarumbeta!
Jazaneni ujinga tu mtaishia kulialia. Kila mkifanya yenu,na wanaume njama mpyaaaaa. Jifanye mjuaji,mdogo wako analiwa,mama yako analiwa, dada wa kazi haachwi,marafiki zako wote,fyeka. Wakati unaugulia maumivu vidume wanatamba.Upokelewe mbinguni na matarumbeta!
Wow, jamani asante sana.Wewe ni JF sweetheart, welcome once again
Acha wakuingize chocho sasa na wewe. Yanaanzaga hivo😂😂😂😂🤣🤣Wow, jamani asante sana.
Sio yeye jamani, niwaambie mara ngapi?Niffer mtoto Cheupe Dawaaaaaa
the bold ana faudu
Hapana, mi nimeshachukuliwa na huyo jamaa ni rafiki yangu wa siku nyingi tunaheshimiana.Acha wakuingize chocho sasa na wewe. Yanaanzaga hivo😂😂😂😂🤣🤣