Khahh! Gari ni kubwa wote wanaenea?🤣🤣🤣🤣Nilikwambia ngoma ya mtoto haikeshi!oooh Mimi kijana,dada umezeeka unaona Sasa...wote wawili ninao tatizo yule mmoja ana wivu sana
Khahh! Gari ni kubwa wote wanaenea?🤣🤣🤣🤣Nilikwambia ngoma ya mtoto haikeshi!oooh Mimi kijana,dada umezeeka unaona Sasa...wote wawili ninao tatizo yule mmoja ana wivu sana
Atakonda sana,Missy Gf anaHuu ni wivu, achana na wivu🤣
Sijaelewa,yaani wapenzi wa Mimi hapa ERoni na Glenn ndio unao waita hivyo?🤣🤣🤣🤣Kuna kitu unanitafuta wewe! niachie wajimba zangu !nawapendaSasa kwa nini tupindishe ukweli? Hao wote wajomba. Tena siku za nyuma walikuwa vibaka. Haya,bado una uhakika na huo ulinzi? Njoo kwa faza Souvenez-vous ulinzi ni wa uhakika. Kikubwa tu umlete binti wa kazi
Niffer mtoto Cheupe DawaaaaaaAliniambia “Nakulinda hata kabla hujajua unalindwa na mimi babe”
Nahitaji nini zaidi ktk haya maisha?
Mungu amenitendea mengi, hili ni zaidi.
Ungelijua mi baba yao mdogo. Nawajua sana. Bora tu ungelindwa na Missy Gf na Antonnia . Subiri likukute utakuja kulia hapa. Utakuta sie tumetoka utajijua mwenyewe
Kama kawaida!Khahh! Gari ni kubwa wote wanaenea?
Tobaaaaaaa!!!! Wewe wewee. Kheh? Kwa hiyo pikipiki ya kubeba mtu mmoja umeuza,umehamia bajaji?!!! Ama kweliKama kawaida!
Wewe ni JF sweetheart, welcome once againNimejaaliwa wote hao, na nashuhudia ni kweli uliyosema.
Namshukuru Mungu kwa kunipa hao watu.
Acheni miwivu yenu!🤣🤣🤣🤣mtalia nyie sio mimiYaani naona kilio kikubwa mbele yake 😆
Yaani naona kilio kikubwa mbele yake 😆
Hata ukiwahi sana 1995,sisi wenzio tangu vita ya Idd Amini tupo🤣🤣🤣Halafu huyo hater Souvenez-vous umemkodi wapi anipe vitisho?Weee mie nizaliwe 19999 kwamba nmechelewa wapi miee
🤣🤣🤣🤣Utajua hujui!kwanza wenzio wanapenda hatariTobaaaaaaa!!!! Wewe wewee. Kheh? Kwa hiyo pikipiki ya kubeba mtu mmoja umeuza,umehamia bajaji?!!! Ama kweli
Kwamba unataka nipewe kesi ya ubakaji mama?🤣Weee mie nizaliwe 19999 kwamba nmechelewa wapi miee
Kwani tumekuzuia basiii?!! Mkubwa wao hapo pichani mnawekana sawa. We lindwa tu.Mi nitalindwa na hao wawili niliowachagua,,,hawawezi kuniiliza Mimi,kwanza hapa Magorotooo na bby E...
Mi nakuzooom tu unavyotafuta hypertension 🤣Kumbeee! Nimekoma..sirudii tena!!
Umeuona mwaka wake wa kuzaliwa lakini?Hata ukiwahi sana 1995,sisi wenzio tangu vita ya Idd Amini tupo🤣🤣🤣Halafu huyo hater Souvenez-vous umemkodi wapi anipe vitisho?