Umeshafanyeje? Nina imani si msukule lakiniHapana, mi nimeshachukuliwa na huyo jamaa ni rafiki yangu wa siku nyingi tunaheshimiana.
Umeshafanyeje? Nina imani si msukule lakiniHapana, mi nimeshachukuliwa na huyo jamaa ni rafiki yangu wa siku nyingi tunaheshimiana.
Vp kipengere cha pesa dada angu?
Mshana Jr ,si uje au umekimbia!Aaabeeeh.....!!!
Mshana junia, Mshana junia, uko wapiiiii...
Niko hapa niko hapa, haya njoooo 😊.
Whachafta.... aka bugs bunny chewing carrot 🥕..... naqeka matani kidogo maisha yasonge...
Mabinti waleo washaona kinachowalinda ni pesa hivyo hata iyo sauti unaanzaje kuitoa wakati pesa kwanza mengine yafuate binafsi siwezi chochote kitachokukuta takwambia tuweke pesa ili uwe salama kumuheshim mtu kumuonyesha upendo inatokana na yeye mmeanza na taswira ya aina gan ktk mahusiano yenu angalia Maisha ya Leo watu hawaelew yupo radhi naondoe furaha ya mtu mwingine irimdari tu pesa ipatikane wadada wa Leo ni wawekezaji /wahisani wa mahusianoHabari za muda huu,
Rejea kichwa cha uzi, kinaongea kwa mapana ila yaliyopo kwenye akili yangu yako kwenye nyanja tofauti tofauti.
1. Mwanaume kumjali jinsia ya kike yeyote yule aliyempenda.
Baba mzazi/mlezi kwa binti yake:
Kuna wababa asisikie au kujua binti yake ametendwa isivyo, yuko radhi ache kila kitu ila usalama wa binti yake kwanza.
Mume kwa mkewe:
Mwanaume akisikia au kujua kuna wanaotaka mdhuru mke wake huwa mbogo na hacheki na kima mbele ya mkewe wala kuleta matani. Achana na wivu kuna ile kumlinda bila kuwa na mtutu wa bunduki...
Kaka kwa dada wa damu (sibling):
Kaka wote wanaojielewa hawakotayari kuona dada yake/zake wanapata tabu. Awe mkubwa ama mdogo, atapambana kuhakikisha dada yake/zake wanakuwa salama.
Mtoto wa kiume kwa mama mzazi:
Hapa wanaume wenyewe mtaongea zaidi, ila iko asili sio tuu mapenzi makubwa yako kwa mama mzazi ila hata kuhakikisha mama hapati shuruba, hateseki yaani ile kumkingia kifua kwa namna yeyote ile...
Kiasili mwanaume ana mabavu kumzidi mwanamke, misuli na nguvu za ziada zipo kwa sababu maalum. Ukiacha kupigana na ubabe, kazi kubwa ni kutoa ulinzi.
Hakuna kitu mwanamke anapata tulizo la akili kama akijua ndani yuko ya mtu anaweza mkingia kifua kwenye jambo lolote lile hata kama sio la hatari...
Kale kahisia kuwa kuna sauti nene inakoromea shambulio lolote lile linaloelekezwa kwenye paa lenu bila ugomvi ila kwa hekima na umakini na msisitizo usio wa mchezomchezo.
Si wanawake wote ni wadau wa mambo za kuwa (protected), ila kuna raha yake... ni asili.
Ukiona hajali, hajisumbui nawe, hajihusishi na mambo yako, haimhusu uko salama ama hauko salama...
Tambua tuu kuwa haupo kwenye himaya yake ya anaowapenda.
Ngumu kukubaliana na uhalisia ila bora kuchukua njia mapema utabaki salama hadi pale atapotokea wa kukujali.
Hiyo ni upande mmoja, kurudisha majibu ya kuwa ulinzi wako umekubalika na unatambulika ni kukuheshimu.
Jinsia ya KE akikubali vile umempenda, umemjali na kumlinda, atakuheshimu na ATAKUTII.
Huu mjadala ni mpana sana ila akili yangu ililenga hapo kwa ME kumpenda, kumjali na kumlinda KE.
Wasalaam,
Kasinde Matata.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mshana Jr ,si uje au umekimbia!
[emoji1]itakuwa ametendwaEeh kaka punguza makasiriko!
Ila siku hz km huna hela hakuna mdada atakupendaKwa lugha ya kigeni, money is material thing... it is not one if the way of identity the true emotion form the loved one.
After all, pesa makaratasi huja na kuondoka.... sio fakta nzuri kwa kipimo cha mapenzi. Hii itafanya kazi kwa wenye mapenzi ya kweli tuu.
Hongera sanaHapana, mi nimeshachukuliwa na huyo jamaa ni rafiki yangu wa siku nyingi tunaheshimiana.
[emoji25]Aaabeeeh.....!!!
Mshana junia, Mshana junia, uko wapiiiii...
Niko hapa niko hapa, haya njoooo [emoji4].
Whachafta.... aka bugs bunny chewing carrot [emoji1647]..... naqeka matani kidogo maisha yasonge...
Nataman kusema lakini naogopa mawe,
Mtu pekee wa kumlinda ni mwanao wa kike afate mamayako, unajua mwanamke ananipenda yule anayejihisi anampenda, kuna mtu kafanya hayo na zaid kakosa Mda ,mali, na mwanamke.
Ubaya ni kuwa hata wanawake hawajui kuwa wanaact hivyo, I mean wanafanya wasichokijua
Ila siku hz km huna hela hakuna mdada atakupenda
Weeeeeeuuuweeee[emoji39][emoji39][emoji39][emoji8][emoji173]Leo ijumaa pilau na biriani,
Kesho jumamosi nyama choma.....
Jumapili imekaa njema..... mdudu oni fliki...
Hongeraa.Nimejaaliwa wote hao, na nashuhudia ni kweli uliyosema.
Namshukuru Mungu kwa kunipa hao watu.
Haaaaa jamani sijakuona siku nyingiiiiii, Asante Mkuu.Hongeraa.
Kumbe bado tuko wote humuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Zama za vipepeo weusi,zikituunganisha
Ni kweli, pesa mwanaharamu....
Pesa mbele mauti nyuma....
Pesa imeondoa utu...
Ukikutana na mwenza ambaye anaupa utu kipaumbele na mkashibana kwenye mahusiano yenu....
Pesa sio tatizo la kuwagombanisha wala kuwatenganisha.
It needs two pure souls who are honest to each other to attain one goal and achieve.
NB: Kwa namna flani nakufananisha na jamaa mmoja alikuwa na aka ya kiasali.....
Hahahahahaha unanifananisha na nani tena?NB: Kwa namna flani nakufananisha na jamaa mmoja alikuwa na aka ya kiasali