Ukimkataa Mwanamke una hali mbaya sana

Surya

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Posts
10,000
Reaction score
16,203
Sikiliza, moja ya sifa ya mwanamke ni wana hisia sana kuliko wanaume.
Nikisema neno hisia linamaana pana sana unapaswa kufikiri kwa kina.
Intuition, beauty, mwanamke ndio chanzo cha uzuri ndani ya nyumba, hata kama ni house girl tu na sio mkeo bado yeye ndio kioo au Mng'ao wa nyumba yako kuu naya kifalme

Sasa wale mnao kataa mna hali mbaya, maisha yenu yanakaa stress na kukosa kujibamba

Oooohhh to be Tohashi, kuwa tohashi ni ufungwa flani, ulipewa makaghare ya nini kijanaa?

So, maisha bila ke, kwa mwanaume inakua ni upuuzi, chakula utakula kibaya, utavaa vibaya, utakua hupendi kuoga πŸ˜‚

Sema nini nisikuchagulie mwanetu.
 
Leo nikiwa naelekea kazini,
Nikawaza nisome short kozi ya upishi alafu nikajihisi kucheka sana
 
Mathayo 19:12.
Maana wako matowashi waliozaliwa hari hiyohiyo toka tumboni mwa mama zao!

Wapo wanao weza kukaa mkuu bila kuchakata hiyo kitu!
 
Kukataa ndoa haimaanishi kukataa kula mbususu, mbususu zinalika kama kawaida hata bila ndoa
Ndio maziwa ya ng'ombe tunakunywa kama kawa, na nyasi za Ng'ombe hatuwezi kukwepa kupeleka πŸ˜‚πŸ˜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…