No Escape
JF-Expert Member
- Mar 7, 2016
- 6,663
- 7,816
Hivi kwani huyo mwanamke sio binadamu, hana akili au unahisi kitu gani kimemshawishi? Wanaume tubadilike kama haya malimbwata yametukolea hivi ni hatari.
Kwa mfano Mimi namtongoza mwanamke sijmjui hanijui ananiambia hana mume tunaanza mahusiano ghafla we zumbukuku unapata habari kumbe ni mkeo unanivamia na kutoa uhai wangu, hapo kosa la nani? Mnajiongopea eti mke anauma mliwakuta bikra haooo... Asbh njema.