usimpe pole mpaka aondoke tuu hakuna pole hapo si alikuwa anajua ni mke wa mtu sasa analalama niiiiiiiiiiiini?Pole mkuu kwa lolote lililokufika
watu hua wanatoa onyo kijana chunga sana huyu mke wa mtu wanapewa zaidi ya mara tatu
nimeshuhudia mwana anapewa onyo mara tatu achana na mke wa mtu akawa kidume mbishi kilichomkuta alishahama mtaa saa hv
ukiona mtu anakupa onyo acha basi acha kweli maana huyo mtu jua ni mbaya kweli
Kabisaa, kumbe kakubali mwenyewe!!!! Mpe talaka tuuMaana angekua anabakwa ingekua suala jingine
watu hua wanatoa onyo kijana chunga sana huyu mke wa mtu wanapewa zaidi ya mara tatu
nimeshuhudia mwana anapewa onyo mara tatu achana na mke wa mtu akawa kidume mbishi kilichomkuta alishahama mtaa saa hv
ukiona mtu anakupa onyo acha basi acha kweli maana huyo mtu jua ni mbaya kweli
watu hua wanatoa onyo kijana chunga sana huyu mke wa mtu wanapewa zaidi ya mara tatu
nimeshuhudia mwana anapewa onyo mara tatu achana na mke wa mtu akawa kidume mbishi kilichomkuta alishahama mtaa saa hv
ukiona mtu anakupa onyo acha basi acha kweli maana huyo mtu jua ni mbaya kweli
watu hua wanatoa onyo kijana chunga sana huyu mke wa mtu wanapewa zaidi ya mara tatu
nimeshuhudia mwana anapewa onyo mara tatu achana na mke wa mtu akawa kidume mbishi kilichomkuta alishahama mtaa saa hv
ukiona mtu anakupa onyo acha basi acha kweli maana huyo mtu jua ni mbaya kweli
Tunatumia nguvu nyingi kuonya watu wa nje kuliko ndani ina maana kumuonya wife imeshindikana?watu hua wanatoa onyo kijana chunga sana huyu mke wa mtu wanapewa zaidi ya mara tatu
nimeshuhudia mwana anapewa onyo mara tatu achana na mke wa mtu akawa kidume mbishi kilichomkuta alishahama mtaa saa hv
ukiona mtu anakupa onyo acha basi acha kweli maana huyo mtu jua ni mbaya kweli
Hahaaaa. Nimecheka sana. Ila ulichosema ni kweli kabisa mkuu inategemea mtu na mtu.Inategemea mtu na mtu, wakati mwanaume mwingine akifumania atatoa roho ya mgoni wake, mwingine ataondoka eneo la tukio kimyakimya, mwingine atasogea pembeni aanze kumwaga chozi anasubiri jamaa aondoke halafu anamwambia mwanamke wake 'pole sana mama'....basi kila mwanaume ananamna anavyo react
Marehemu babu yangu aliwahi kunambia omba sana Mungu usifumanie na pia usifumaniwe! Mpaka leo sijaelewa busara ya yule mzeeHahaaaa. Nimecheka sana. Ila ulichosema ni kweli kabisa mkuu inategemea mtu na mtu.
Alikuwa na maana kubwa sana kaka kwa sababu sio siri kufumania au kufumaniwa ni jambo ambalo mara nyingi maamuzi yanayotoka pale mengi huwa yana hasara kuliko faidaMarehemu babu yangu aliwahi kunambia omba sana Mungu usifumanie na pia usifumaniwe! Mpaka leo sijaelewa busara ya yule mzee
Mmmmh! Kweli fumanizi lisikie kwa mwenzako tu au usome kwenye hadithiAlikuwa na maana kubwa sana kaka kwa sababu sio siri kufumania au kufumaniwa ni jambo ambalo mara nyingi maamuzi yanayotoka pale mengi huwa yana hasara kuliko faida
Hahahahaa. Kabisa yaani.Mmmmh! Kweli fumanizi lisikie kwa mwenzako tu au usome kwenye hadithi