Hongera kwa hiloNaheshimu sana wake za watu ila nikimfumania wangu namwambia mwanaume aende zake tu atuache Mimi na wife kwanza!
Inategemea mtu na mtu, wakati mwanaume mwingine akifumania atatoa roho ya mgoni wake, mwingine ataondoka eneo la tukio kimyakimya, mwingine atasogea pembeni aanze kumwaga chozi anasubiri jamaa aondoke halafu anamwambia mwanamke wake 'pole sana mama'....basi kila mwanaume ananamna anavyo reactHivi kwani huyo mwanamke sio binadamu, hana akili au unahisi kitu gani kimemshawishi? Wanaume tubadilike kama haya malimbwata yametukolea hivi ni hatari. Kwa mfano Mimi namtongoza mwanamke sijmjui hanijui ananiambia hana mume tunaanza mahusiano ghafla we zumbukuku unapata habari kumbe ni mkeo unanivamia na kutoa uhai wangu, hapo kosa la nani? Mnajiongopea eti mke anauma mliwakuta bikra haooo... Asbh njema.
DUH NI LINK HUO UZI MZEE?? NILIDHANIA UMEKUTWA NA MKE WA MTUNimekuta Uzi humu jamaa kaua mgoni wake ndio imenisukuma kuandika Uzi huu! Ila kama huu ndio mchango wako ahsante tuendelee kuchangia mkuu.
Safi sana boss! Baada ya hapo utaishia jela wakati huyo binti ataendelea kuliwa na wengine huku nje kwa uhuru kabisa! Tena yaweza kuwa na huyo huyo mgoni wako..Tukikutana ama zangu ama zako, sitojali alikwambia ameolewa au laa!! ntakutandika na kumpa red kadi huyo bwege
Wakati unahangaika na kesi ya mauaji na kisha hukumu ya kunyongwa au kifungo cha maisha, watu watakuwa wanajilia huyo mke bila bugudha.NDIO NIMEMKUTA BIKRA KAMA WEWE HUKUBAHATIKA KUMKUTA MKEO BIKRA KAACHONJO NA WAKE ZA WATU UTAKUFA
Maana angekua anabakwa ingekua suala jingineMtongozwaji ndo mwenye maamuzi ya mwisho!!!