Eeka Mangi
JF-Expert Member
- Jul 27, 2008
- 3,173
- 486
Sema wanawake hawana tabia ya kutongoza tongoza, ila kama mtu anakuchekea siku kibao hadi kaamua kukupa lunch maana ake anakutaka. Sasa wewe ni juu yako kumuweka sawa kama kumweleza ukweli kuwa humpendi wala hutaki zaidi ya kuwa marafiki tu. Nadhani angekuelewa zaidi ya kumkimbia, inawezekana anakutamani kimapenzi basi.
sio lazima kabisa, huyo anasema anakupenda lakini sio kweli ni tamaa za kimwili zinamsumbua....ki ukweli wanaume zetu mnapata majaribu sana.
Nooooo. Kanambia kabisa kuwa siku nyingi ananitamani na anataka niende kwake akanipe penzi. Nilimwambia hapana si sawa tuwe marafiki tu. Akaanza vurugu analia mara anasema namwonea mara sikumwelewa. Mbaya zaidi anelewa nina familia yangu. Hataki kuelewa hayo yeye alitaka hivyo alivyotaka. Kisingeeleweka jana hiyo ilibidi nikimbie. Sasa leo kaja na hilo jicho la kuua. Kudinyana naye nasema NOOOOOOOOOOOOOOO!
Ni lazima!
Yaani ndugu yangu umeachia kitu imekuja yenyewe asee? Kweli tumeumbwa tofauti. Hebu nirushie contacts zake tafadhali.:love:
Nooooo. Kanambia kabisa kuwa siku nyingi ananitamani na anataka niende kwake akanipe penzi. Nilimwambia hapana si sawa tuwe marafiki tu. Akaanza vurugu analia mara anasema namwonea mara sikumwelewa. Mbaya zaidi anelewa nina familia yangu. Hataki kuelewa hayo yeye alitaka hivyo alivyotaka. Kisingeeleweka jana hiyo ilibidi nikimbie. Sasa leo kaja na hilo jicho la kuua. Kudinyana naye nasema NOOOOOOOOOOOOOOO!
Nooooo. Kanambia kabisa kuwa siku nyingi ananitamani na anataka niende kwake akanipe penzi. Nilimwambia hapana si sawa tuwe marafiki tu. Akaanza vurugu analia mara anasema namwonea mara sikumwelewa. Mbaya zaidi anelewa nina familia yangu. Hataki kuelewa hayo yeye alitaka hivyo alivyotaka. Kisingeeleweka jana hiyo ilibidi nikimbie. Sasa leo kaja na hilo jicho la kuua. Kudinyana naye nasema NOOOOOOOOOOOOOOO!
Kusema ukweli ni mrembo wa haja. Ano uwezo wa kawaida, usafiri nyumba an hela ya kubadilisha mboga. ILA MIMI NILIMCHUKULIA KAMA RAFIKI WA KAWAIDA TU NA SI VINGINEVYO. Inapotokea m2 anakuja na sera hizo, for sure I will say a big NOOOOOOOOOOOOOO!
sasa na wewe una familia ukaenda nae lunch sijui mara dinner mara sijui kitu gani cha nini? kama si kutafuta shari?
mkeo alijua kama umeenda nae lunch na dinner?
sasa na wewe una familia ukaenda nae lunch sijui mara dinner mara sijui kitu gani cha nini? kama si kutafuta shari?
mkeo alijua kama umeenda nae lunch na dinner?
na alienda na gari ya mrembo, hapo kama mie na akili zangu za kuvukia barabara nikiwaona wapo hivyo akaniambia eti ni lunch tu, ni rafiki tu nitamuelewa kweli?...
Tatizo letu ndo hilo. Je wewe nikikukuta na mwanaume kwenye gari ni hawara yako? Tufunguke akili na tusihukumu Nyamayao!
Mkeo kakuelewa kwa maana analifanyia kazi jambo hilo kuwa makini,mwenzako yalinikuta kama haya na mpaka namwambia wife ilikuwa too late ila namshukuru Mungu yaliisha na siku hizi siendi dinner hovyo hovyo labda lunch na si kila mara na mtu huyo huyo.Gaijin kuna nini kwenda na mtu dinner ama lunch? Mbona ni vitu vya kawaida hivyo? Lengo langu halikuwa baya na wala sikufikiria chochote kibaya hivyo sikuona ubaya wowote. Yeye ndo alikuwa na lengo tofauti. Hata hivyo wife anajua kuwa ku hang na marafiki ni kitu cha kawaida sana kwetu. Hata hivyo jana usiku nilimpa story nzima na alielewa.
Gaijin kuna nini kwenda na mtu dinner ama lunch? Mbona ni vitu vya kawaida hivyo? Lengo langu halikuwa baya na wala sikufikiria chochote kibaya hivyo sikuona ubaya wowote. Yeye ndo alikuwa na lengo tofauti. Hata hivyo wife anajua kuwa ku hang na marafiki ni kitu cha kawaida sana kwetu. Hata hivyo jana usiku nilimpa story nzima na alielewa.