Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,427
- 191,701
Katika comment zako zote unaona kuna kitu kama dili ambacho umeandika?Una uhakika?
Katika comment zako zote unaona kuna kitu kama dili ambacho umeandika?Una uhakika?
Umekuja pm?Katika comment zako zote unaona kuna kitu kama dili ambacho umeandika?
Unataka kunitapeli?Umekuja pm?
Great thinker anatapeliwa?Unataka kunitapeli?
huu ndio tunaita uhuniNjooni pm uku wenzio washapata madili
Weka mambo hadharani wote wafaidikeGreat thinker anatapeliwa?
Mkuu Nina project kaka 40 ivi siwesi zianika zote hapa ukija pm Kuna mahojiano kidogo ndo nikupe mchongohuu ndio tunaita uhuni
weka hapa wote tunufaike
Nimemjibu Mwenzio pitia reply yangu ya mwishoWeka mambo hadharani wote wafaidike
Wamepata madili au wamepata kipigo mkuu? Madili gami yakuitiana kizaniNjooni pm uku wenzio washapata madili
MAHOJIANO KUHUSU? PROJECT ZOTE 40 UNIHOJI NINI?Mkuu Nina project kaka 40 ivi siwesi zianika zote hapa ukija pm Kuna mahojiano kidogo ndo nikupe mchongo
Kiingilio bei gani maana najua ndio unachokwepa hapa tapeli mmoja wewe😅Mkuu Nina project kaka 40 ivi siwesi zianika zote hapa ukija pm Kuna mahojiano kidogo ndo nikupe mchongo
Subiri waje watu kama watatoa ushuhuda kua nimewatapeliKiingilio bei gani maana najua ndio unachokwepa hapa tapeli mmoja wewe[emoji28]
Mkuu siwezi kupa mchongo bila kujua passion yako bossMAHOJIANO KUHUSU? PROJECT ZOTE 40 UNIHOJI NINI?
AU NDIO NETWORK MARKETING? KWA NINI KUNA KIFICHO
NIMEKUJA LETE MADILI MKUUUmekuja pm?
Hongera Sana kwa Moyo wa kupenda na kujali wenzako.Wakuu mwamba Albert Einstein alisema kitu kinachomzuia kujifunza ni elimu yake nasi hivyo hivyo watu wengi wamekaa mtaani na mavyeti baada ya chuo kana kwamba ndo mwisho wa learning..
Binafsi baada ya chuo nikajimix mtaani naona vijana wengi wapo tu home kusubiri kugombania vitafunwa na madogo. Hii si sawa!
Kuna mambo mengi sana ya kufanya hata ukiwa huna hata Mia kama uzima unao Anza na 0 maisha ni zaidi ya plan A B ni hadi Z kule.
Mwisho nimkoti Albert Einstein. The life is like riding a bicycle to keep up the balance you must keep moving.
Karibuni
Mtaalam wa project 40 anataka mkopo wa 1m huko [emoji3]Kiingilio bei gani maana najua ndio unachokwepa hapa tapeli mmoja wewe[emoji28]
Anatuona sie mazwazwa ndio tatizo hilo😅Mtaalam wa project 40 anataka mkopo wa 1m huko [emoji3]
Akae kitaalamu [emoji23]Anatuona sie mazwazwa ndio tatizo hilo[emoji28]