Julius Husseni
JF-Expert Member
- Sep 9, 2016
- 1,435
- 1,195
Wakuu mwamba Albert Einstein alisema kitu kinachomzuia kujifunza ni elimu yake nasi hivyo hivyo watu wengi wamekaa mtaani na mavyeti baada ya chuo kana kwamba ndo mwisho wa learning..
Binafsi baada ya chuo nikajimix mtaani naona vijana wengi wapo tu home kusubiri kugombania vitafunwa na madogo. Hii si sawa!
Kuna mambo mengi sana ya kufanya hata ukiwa huna hata Mia kama uzima unao Anza na 0 maisha ni zaidi ya plan A B ni hadi Z kule.
Mwisho nimkoti Albert Einstein. The life is like riding a bicycle to keep up the balance you must keep moving.
Karibuni