BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,345
- Thread starter
- #81
Mbona kama kuna vijembe vinarushwa chini chini kwenye uzi wangu..emb tulien jmn tulien
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Siku nyingi sana tupo na mume wangu tunalea
Nimeshapoa, nawe pole kwa kufulia.Ooooooh pole sana
Asali wangu wa moyo nadhani unamjua[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Yupi sasa, maana hata wewe ulikuwa haujui muhusika ni nani!!
Nimeshapoa, nawe pole kwa kufulia.
Nitunge story ili iweje?Dah
,... watu mna kipaji cha kutunga story papo kwa papo.. hongera.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Asali wangu wa moyo nadhani unamjua
Kufulia kawaida hiki kipindi si cha sport sport
Kwani mie nilishawahi kukosana na @Rogie?Hata sikumbuki kabisa[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kwakweli namfahamu, hivi ndio aligoma kabisa kutoa msamaha?
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]