ShyaRuwa
JF-Expert Member
- May 30, 2015
- 8,248
- 14,775
Yalishapita Mkuu,...hakuna hisia za kuumiza tena....yaani mate yaliniwia machangu kwa siku tatu,....sikula nyama kwa majuma kadhaa.....Ila ndio maisha, kuna mengi tunayashuhudia, mema na mengine ni ya kuhuzunisha.Mungu wamgu hiyo stori yako imenihuzunisha sanaa!pole mkuu kwa kushuhudia tukio kubwa kiasi hicho.