Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,437
- 176,383
Misa ya kwanza mama.Teh teh...
Na bila shaka mlikutana kwaya ya Misa ya pili.. Teh
Misa ya kwanza mama.Teh teh...
Na bila shaka mlikutana kwaya ya Misa ya pili.. Teh
Mwili umenisisimka.....nimeingiwa na huzuni...daah maisha haya alale salama dada wa watuHuu wimbo wa Diamond siupendi hata kidogo,
Siyo kwamba uliimbwa vibaya ama simpendi Diamond, hapana bali unanikumbusha tukio la huzuni.
Nikiwa nausikiliza mida ya saa 9:30 usiku kwenye mgahawa unaotazamana na barabara, kuna Dada mmoja[kama 26-29] aliyekuwa na matatizo ya akili, mjamzito na asiyekuwa na makazi.
Huyo Dada akiwa anavuka barabara aligongwa na pikipiki aka anguka na kupoteza fahamu katikati ya barabara.Kabla ya watu kugundua uwepo wake barabarani fuso ilimpitia na kumkanyaga, nilisikia miguu na mikono ikivunjika kama kuni kavu.Jamaa mmoja aliyetaka kujaribu kumvuta pembeni alirudi mbio alipoona semi imekolezwa ambayo ilimpitia yule Dada kwa mara ya tatu.
Baadae barabara ilifungwa ili kumtoa barabarani[kilichonishangaza tumbo na kichwa havikujeruhiwa],
Wakati hayo yote yakitokea huo wimbo ulikuwa ukipigwa kwenye redio.....nikisikia anaposema ukilala lala salama, picha inanijia anamwimbia yule Dada aliyefariki kwa ajali kwamba akila alale salama.
It was too odious.
Mkuu lilikuwa tukio la huzuni mno.....Hakuwa na ndugu hivyo baada ya kupelekwa mochwari gari la manispaa lilipita mitaa yote kuulizia ndugu zake.....sijui kama ndugu zake walijitokeza kwenda kumzika au alizikwa na manispaa.....Lilikuwa ni tukio la kuhuzunisha mno.Mwili umenisisimka.....nimeingiwa na huzuni...daah maisha haya alale salama dada wa watu
ChaKULA tangu lini kikawa ni matapishi?
Pole sana kwa kumbukumbu yenye kuogofya.Mkuu lilikuwa tukio la huzuni mno.....Hakuwa na ndugu hivyo baada ya kupelekwa mochwari gari la manispaa lilipita mitaa yote kuulizia ndugu zake.....sijui kama ndugu zake walijitokeza kwenda kumzika au alizikwa na manispaa.....Lilikuwa ni tukio la kuhuzunisha mno.
Kikishaliwa.ChaKULA tangu lini kikawa ni matapishi?
We ulijifanya mjuaji, mwanamke gani kila mwanaume unamtaka.Kikishaliwa.
Namalizia hiyo methali halikuli likakwishaWe ulijifanya mjuaji, mwanamke gani kila mwanaume unamtaka.
Zimwi likujualo..............
We ulijifanya mjuaji, mwanamke gani kila mwanaume unamtaka.
Zimwi likujualo..............
Aaaaah usintie aibu sterling wangu, wewe sio wa kufulia namna hii mama, whats wrong? Au tumbadilishe manyau nyau?Namalizia hiyo methali halikuli likakwisha
Jamani mbona haunipumzishi mtoto wa mwanamke mwenzio?Kila kukicha kunisema tu khaaaa!!!![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Aaaaaah mpendwa ktk bwana hilo swali ulipaswa ujiulize wewe ujue.
Hivi mbona mimi nina unafuu.
Honey Faith hivi ulishajifungua au umebeba tembo.

Kumbe mie ndio sterling wako?Nilikuwa sijui kabisaAaaaah usintie aibu sterling wangu, wewe sio wa kufulia namna hii mama, whats wrong? Au tumbadilishe manyau nyau?
,... watu mna kipaji cha kutunga story papo kwa papo.. hongera.Huu wimbo wa Diamond siupendi hata kidogo,
Siyo kwamba uliimbwa vibaya ama simpendi Diamond, hapana bali unanikumbusha tukio la huzuni.
Nikiwa nausikiliza mida ya saa 9:30 usiku kwenye mgahawa unaotazamana na barabara, kuna Dada mmoja[kama 26-29] aliyekuwa na matatizo ya akili, mjamzito na asiyekuwa na makazi.
Huyo Dada akiwa anavuka barabara aligongwa na pikipiki aka anguka na kupoteza fahamu katikati ya barabara.Kabla ya watu kugundua uwepo wake barabarani fuso ilimpitia na kumkanyaga, nilisikia miguu na mikono ikivunjika kama kuni kavu.Jamaa mmoja aliyetaka kujaribu kumvuta pembeni alirudi mbio alipoona semi imekolezwa ambayo ilimpitia yule Dada kwa mara ya tatu.
Baadae barabara ilifungwa ili kumtoa barabarani[kilichonishangaza tumbo na kichwa havikujeruhiwa],
Wakati hayo yote yakitokea huo wimbo ulikuwa ukipigwa kwenye redio.....nikisikia anaposema ukilala lala salama, picha inanijia anamwimbia yule Dada aliyefariki kwa ajali kwamba akila alale salama.
It was too odious.
Sijakusema, nauliza vipi bado tu? Au ilikuwa hewa?Jamani mbona haunipumzishi mtoto wa mwanamke mwenzio?Kila kukicha kunisema tu khaaaa!!!![]()
Yaani ninavyokuaminia, siamini umeniangusha namna hii!!!!Kumbe mie ndio sterling wako?Nilikuwa sijui kabisa
Duuuuh...We ulijifanya mjuaji, mwanamke gani kila mwanaume unamtaka.
Zimwi likujualo..............
Siku nyingi sana tupo na mume wangu tunaleaSijakusema, nauliza vipi bado tu? Au ilikuwa hewa?
Ooooooh pole sanaYaani ninavyokuaminia, siamini umeniangusha namna hii!!!!