Huu wimbo wa Diamond siupendi hata kidogo,
Siyo kwamba uliimbwa vibaya ama simpendi Diamond, hapana bali unanikumbusha tukio la huzuni.
Nikiwa nausikiliza mida ya saa 9:30 usiku kwenye mgahawa unaotazamana na barabara, kuna Dada mmoja[kama 26-29] aliyekuwa na matatizo ya akili, mjamzito na asiyekuwa na makazi.
Huyo Dada akiwa anavuka barabara aligongwa na pikipiki aka anguka na kupoteza fahamu katikati ya barabara.Kabla ya watu kugundua uwepo wake barabarani fuso ilimpitia na kumkanyaga, nilisikia miguu na mikono ikivunjika kama kuni kavu.Jamaa mmoja aliyetaka kujaribu kumvuta pembeni alirudi mbio alipoona semi imekolezwa ambayo ilimpitia yule Dada kwa mara ya tatu.
Baadae barabara ilifungwa ili kumtoa barabarani[kilichonishangaza tumbo na kichwa havikujeruhiwa],
Wakati hayo yote yakitokea huo wimbo ulikuwa ukipigwa kwenye redio.....nikisikia anaposema ukilala lala salama, picha inanijia anamwimbia yule Dada aliyefariki kwa ajali kwamba akila alale salama.
It was too odious.
Asante sana Mkuu....Yalishapita na maisha yanaendelea sasa....toka siku ile barabara za lami naziogopa sana.pole mkuu! pole sana
[emoji108] [emoji108]Tuna yetu sie na tumeishatoka kulana morning glory mda sio mrefu
Huwa hatuachani kabisa mie na yeye tunapeanaga space tu yakuexperience utofauti wa huko njeHuu wimbo nauonaga kama wa msiba hivi!!!
Rogie mmerudiana???
Au ndio hauna jinsi tena baada ya mambo kuwa tafrani!!!
Nakusalimu kaka[emoji108] [emoji108]
Nakusalimu kaka
Salama kabisaMarhabaa...za kushinda?
Shemeji hajambo?Salama kabisa
Kifaa gani tena jamani?Kwani wewe ulivyo opoa 'kifaa' kilikwambia kipo single?
Asante my wii. Hope usiku wako na Rogie ulikua mtaamu zaidiLala salama my wii Valentina pamoja na mumeo Nyani Ngabu
Jirani yangu atoto na mwanae Heaven Sent
Wa mwisho laaziz wangu wa.... Rogie
Kwa raha zetu babu wee[emoji108]Valentina Nyani Ngabu atoto Heaven Sent Rogie Honey Faith mnalala kweli au mnatuzuga? maana mpaka kukumbukana inanitia wasiwasi ina maana mna yenu maana wengine mpka majogoo mpoo! leo imekuwaje muitane
nitoeni tongotongo
Mzima kabisa anakusalimuShemeji hajambo?
Ndio alikwambia mie ni matapishi kwake?Yakishakukuta una maneno!!
Rogie kumbe unarudiaga matapishi.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji86] [emoji86]
Ulikuwa mtamu zaidi ya asaliAsante my wii. Hope usiku wako na Rogie ulikua mtaamu zaidi
RogieKifaa gani tena jamani?
[emoji102] [emoji102] [emoji102]
Teh teh...[emoji102] [emoji102] [emoji102]
Hapana bwana, huyo ni mpendwa katika bwana.