BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,345
Thank you mwayaaAsantee mwayaa, nawewe piaaa lala salamaa
Lala salama my wii Valentina pamoja na mumeo Nyani Ngabu
Jirani yangu atoto na mwanae Heaven Sent
Wa mwisho laaziz wangu wa.... Rogie
Hahaha mkuu umejipanga kuwakabiri ngoja wajeyaani huu wimbo zingekuwepo zile sauti za kiba sipati picha ungekuwaje..
hahahh hakuna ugomvi mkuu.. kila mtu achangie apendavyoHahaha mkuu umejipanga kuwakabiri ngoja waje
NiceLala salama my wii Valentina pamoja na mumeo Nyani Ngabu
Jirani yangu atoto na mwanae Heaven Sent
Wa mwisho laaziz wangu wa.... Rogie
My God...!!Huu wimbo wa Diamond siupendi hata kidogo,
Siyo kwamba uliimbwa vibaya ama simpendi Diamond, hapana bali unanikumbusha tukio la huzuni.
Nikiwa nausikiliza mida ya saa 9:30 usiku kwenye mgahawa unaotazamana na barabara, kuna Dada mmoja[kama 26-29] aliyekuwa na matatizo ya akili, mjamzito na asiyekuwa na makazi.
Huyo Dada akiwa anavuka barabara aligongwa na pikipiki aka anguka na kupoteza fahamu katikati ya barabara.Kabla ya watu kugundua uwepo wake barabarani fuso ilimpitia na kumkanyaga, nilisikia miguu na mikono ikivunjika kama kuni kavu.Jamaa mmoja aliyetaka kujaribu kumvuta pembeni alirudi mbio alipoona semi imekolezwa ambayo ilimpitia yule Dada kwa mara ya tatu.
Baadae barabara ilifungwa ili kumtoa barabarani[kilichonishangaza tumbo na kichwa havikujeruhiwa],
Wakati hayo yote yakitokea huo wimbo ulikuwa ukipigwa kwenye redio.....nikisikia anaposema ukilala lala salama, picha inanijia anamwimbia yule Dada aliyefariki kwa ajali kwamba akila alale salama.
It was too odious.
Umehamia kwa rogie siku hizi? Mlale salama piaLala salama my wii Valentina pamoja na mumeo Nyani Ngabu
Jirani yangu atoto na mwanae Heaven Sent
Wa mwisho laaziz wangu wa.... Rogie
Duu nasoma hapa naona kama naangalia Final destination ,R.I.P dadaHuu wimbo wa Diamond siupendi hata kidogo,
Siyo kwamba uliimbwa vibaya ama simpendi Diamond, hapana bali unanikumbusha tukio la huzuni.
Nikiwa nausikiliza mida ya saa 9:30 usiku kwenye mgahawa unaotazamana na barabara, kuna Dada mmoja[kama 26-29] aliyekuwa na matatizo ya akili, mjamzito na asiyekuwa na makazi.
Huyo Dada akiwa anavuka barabara aligongwa na pikipiki aka anguka na kupoteza fahamu katikati ya barabara.Kabla ya watu kugundua uwepo wake barabarani fuso ilimpitia na kumkanyaga, nilisikia miguu na mikono ikivunjika kama kuni kavu.Jamaa mmoja aliyetaka kujaribu kumvuta pembeni alirudi mbio alipoona semi imekolezwa ambayo ilimpitia yule Dada kwa mara ya tatu.
Baadae barabara ilifungwa ili kumtoa barabarani[kilichonishangaza tumbo na kichwa havikujeruhiwa],
Wakati hayo yote yakitokea huo wimbo ulikuwa ukipigwa kwenye redio.....nikisikia anaposema ukilala lala salama, picha inanijia anamwimbia yule Dada aliyefariki kwa ajali kwamba akila alale salama.
It was too odious.
Kwa nini tusilale jamani?Valentina Nyani Ngabu atoto Heaven Sent Rogie Honey Faith mnalala kweli au mnatuzuga? maana mpaka kukumbukana inanitia wasiwasi ina maana mna yenu maana wengine mpka majogoo mpoo! leo imekuwaje muitane
nitoeni tongotongo
Seen flesh of another human being exposed, it totally affected me.I had to pass several weeks with meat exclusion in my diets.Saliva turned to be vinegar. I lost concentration as my mind was severally envisioned with her picture.My God...!!
Naona kama lilikua tukio la kuogofya sana how did you manage to see it all mkuu ...dah
Nilishapoa Mkuu, zimebaki hadithi za kusimulia....hakuna cha kuumiza hisia tenaDuu nasoma hapa naona kama naangalia Final destination ,R.I.P dada
Na pole sana kwa kuona tukio la aina hiyo
Mungu wamgu hiyo stori yako imenihuzunisha sanaa!pole mkuu kwa kushuhudia tukio kubwa kiasi hicho.Huu wimbo wa Diamond siupendi hata kidogo,
Siyo kwamba uliimbwa vibaya ama simpendi Diamond, hapana bali unanikumbusha tukio la huzuni.
Nikiwa nausikiliza mida ya saa 9:30 usiku kwenye mgahawa unaotazamana na barabara, kuna Dada mmoja[kama 26-29] aliyekuwa na matatizo ya akili, mjamzito na asiyekuwa na makazi.
Huyo Dada akiwa anavuka barabara aligongwa na pikipiki aka anguka na kupoteza fahamu katikati ya barabara.Kabla ya watu kugundua uwepo wake barabarani fuso ilimpitia na kumkanyaga, nilisikia miguu na mikono ikivunjika kama kuni kavu.Jamaa mmoja aliyetaka kujaribu kumvuta pembeni alirudi mbio alipoona semi imekolezwa ambayo ilimpitia yule Dada kwa mara ya tatu.
Baadae barabara ilifungwa ili kumtoa barabarani[kilichonishangaza tumbo na kichwa havikujeruhiwa],
Wakati hayo yote yakitokea huo wimbo ulikuwa ukipigwa kwenye redio.....nikisikia anaposema ukilala lala salama, picha inanijia anamwimbia yule Dada aliyefariki kwa ajali kwamba akila alale salama.
It was too odious.
It must have been tough for you...but prayer is advisable in situations like those ones .Seen flesh of another human being exposed, it totally affected me.I had to pass several weeks with meat exclusion in my diets.Saliva turned to be vinegar. I lost concentration as my mind was severally envisioned with her picture.
Hurtful enough, five months later in the same year, again I witnessed another accident that was exactly alike the earlier except victim been a male.
I will never forget that year, I was mentally injured and all shits went on predicamently.