Ukikutana naye........UTAMUULIZA?

We Ally wa kitaa! Umejuaje kama Mungu mwanamme? Kwani kuna wa2 wanajua mungu ni jinsia gani?

Wewe hujawahi kusikia "mungu baba"? Hujawahi kusikia "baba yetu uliye mbinguni"? Sasa nikuulize wewe, kuna mwanamke aitwaye baba?

Mimi nadhani mungu anaendekeza mfumo dume. Hebu soma Phillipians 4:13...kwa nini wametumia personal pronoun ya "him" badala ya "her"?

Mfumo dume huo
Ahhhh tunamjibia Mungu hili swali ni la kwake
Ila muulizaji anaweza kubadilishwa jinsia yake ghafla akajikuta baiology yake haipo

Mfumo dume hadi kwa mungu! Kudadadadeeeki.

Na mungu hana ubavu wa kunibadilisha jinsia. I dare him or her!!

We naona unaleta utani
yeye mwenyewe ndo amekufanya uzaliwe kidume na leo unasema hana ubavu

Aliyesababisha nikazaliwa kidume ni mdingi wangu. Au hujui kuwa mbegu za baba ndizo zinazo determine jinsia ya mwana?

Mfumo dume huo
Ahhhh tunamjibia Mungu hili swali ni la kwake
Ila muulizaji anaweza kubadilishwa jinsia yake ghafla akajikuta baiology yake haipo

Yesu alipokuja alikuwa akimrejea Mungu kama 'Baba yangu aliyenituma mimi....'

nadahani hilo lilitosha kutuambia Mungu ni "Baba" (mwanaume)

Halafu hivi kuna dini ambayo mungu wake ni mwanamke? Washinto mungu wao wa jinsia gani? Wabuddha je?

Manake mtume najua ni kidume, yesu naye kidume...hao wengine je?

Mkuu nimekosa swali!
Maana kila jambo anafanya kwa ajili ya utukufu wake!

ACHENI MUNGU AITWE MUNGU

• Thanks
Reactions: bht
Mkuu nimekosa swali!
Maana kila jambo anafanya kwa ajili ya utukufu wake!

ACHENI MUNGU AITWE MUNGU

Kwa nini tuache aitwe mungu? Kuna ubaya gani tukihoji uwepo wake na yale ambayo anadhaniwa anafanya kwa upendo na uwezo wake? Kwa sababu kuna mengine ambayo hutokea hapa duniani na hayaingii kabisa akilini na wala hayakubaliki machoni. Kama angekuwa hataki tuhoji au kuuliza basi asingetupa uwezo huo kama kweli yeye ndo mtoaji wa huo uwezo. Kwa hiyo acha tu na sisi tuhoji kama ambavyo wewe unataka tuache yeye aitwe mungu.

Aliyesababisha nikazaliwa kidume ni mdingi wangu. Au hujui kuwa mbegu za baba ndizo zinazo determine jinsia ya mwana?

Huyo mdingi aliktoka wapi na alizaliwa na nani na ni nani aliyemleta babu yako duniani
Ukirudi nyuma utajikuta umerudi kwa Adam mwanaume wa kwanza aliyetengenezw ana Mungu mwenyewe
Na aliyefanya hizo mbegu za kukutoa wewe kidume ni nani
We Ally wacha masikhara

Mkuu huyu Ally naona anachafua hali ya hewa........dah!

Mpaka naanza kuiogopa hii sredi wallah!

Huyo mdingi aliktoka wapi na alizaliwa na nani na ni nani aliyemleta babu yako duniani

Ukirudi nyuma utajikuta umerudi kwa Adam mwanaume wa kwanza aliyetengenezw ana Mungu mwenyewe

Na aliyefanya hizo mbegu za kukutoa wewe kidume ni nani

We Ally wacha masikhara

Hebu Rocky gonga hiki kiungo www.faithfreedom.org nenda kwenye creation na about God utajifunza kitu!Mengineyo unaweza kusoma ukitaka!

Huyo mdingi aliktoka wapi na alizaliwa na nani na ni nani aliyemleta babu yako duniani
Ukirudi nyuma utajikuta umerudi kwa Adam mwanaume wa kwanza aliyetengenezw ana Mungu mwenyewe
Na aliyefanya hizo mbegu za kukutoa wewe kidume ni nani
We Ally wacha masikhara

Mdingi wangu alitengenezwa na mdingi wake na mdingi wa mdingi wake naye alitengenezwa na mdingi wake. Huyo Adam hatumjui sisi. Tujuacho ni masimulizi tu juu yake. Nadhani anatumika kwenye masimulizi kuwakilisha nafasi ya mwanaume katika uzazi.

Binafsi sidhani kama alikuwa ni mtu wa kweli kama mimi na wewe kwa sababu hakuna ushahidi wa kuthibitisha hivyo. Kama huyo Adam alikuwa mtu wa kweli, alikuwa ni mtu wa asili gani? Alikuwa Muasia, Mwafrika mweusi, Mwarabu, Mzungu blonde, au?

Back
Top Bottom