Selfish.....! We umefanikiwa na umepata miujiza yote, majirani na ndugu zako nao wamepata mafanikio na miujiza kama yako? Kwanini usimuulize Mungu mbona hawafanyii miujiza na wengine?....Mungu anayajua maisha yetu sana na anajua tutaishi tu hata kama wanaotupenda hawapo!
Nikikumbuka nilikotoka huwa naogopa kumuuliza Mungu chochote kwa kuwa hapa nilipo ni miujiza ya Mungu kwangu.....
Namshukuru Mungu kwa yote wala sina cha kumuuliza
Natamani nikuelewe lakini nashindwa...wakati wa kuuliza ni sasa, Mungu yuko wapi nimuulize? Nataka nimuulize uso kwa uso.... LIVEKazi ya Mungu haina makosa haihojiwi, haisahihishwi..baada ya kifo ni hukumu (hakuna maswali wala hoja) kama una maswali wakati ni sasa.. watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa (matatizo mengi tunayatengeneza/tunajitakia wenyewe eg, umaskini wa vizazi unaotengenezwa na ccm kwa ridhaa yetu wenyewe!?)..shetani siyo kisingizio tena..mpingeni naye ATAWAKIMBIA.. atatawanyika ktk njia saba sawa sawa na neno la Mungu.
Duh! Kaaaaaazi kweli kweli!Huyu ndugu mlevi anahoji kuhusu kufa kwa baba yake akiwa mdogo..je naye akiondoka na hiv au ajali ulevini..watoto wake nao watakuwa na hoja hii: ee Mungu mchome moto vilivyo baba yetu mr.ulabu or sharubati..
Kukuwakilisha katika kuuliza maswali?
Err....wacha nikwende kuuliza....
NYIE VIJANA WAWILI HAPO JUU...........Mungu akiwaona hatakuwa na muda wa kuwasikiliza maswali yenu....Si atakuwa amenigea na nguvu za kufanya kazi nisihangaike kwenda kula pweza na tende
atakuw aamefanya la maana sana
Kwa kweli napenda sana kumuona. Anitegulie hili fumbo la Imani............. Manake tunamwomba kwa imani lakini saa nyingine anajibu saa nyingine anauchuna. Nataka nimuulize kwanini saa nyingine anatuchunia wakati sie tuko serious?Asprin Mungu ni Roho umuendee kwa jinsi ya roho..na ana njia ya kumuendea (MIMI ndimi njia ya kweli na uzima,mtu haendi kwa BABA pasipo MIMI..) njooni tusemezane..na haja zenu nazijulikane asema Bwana!..kama watu wanavyoamini/kuendea? majini/shetani..pia wapo weengi wanaomwendea Mungu (Alfa na Omega), asprini bado unataka kumuona Mungu
Kudadadadeki, sikujua. Kumbe dogo ni sharobaro?
Sharobalo wa JF aka Mr.Rocky.....kamata mwizi meeeeen.....
Wapendwa marafiki salamu,
Jana nlimpigia simu rafiki yangu. Alipokea akiwa na simanzi kubwa. Kumbe ndio alikuwa kapokea habari ya msiba wa kaka yake. Alikuwa analia na kuongea kwa shida. Nilihuzunika kwa niaba yake..........kama si nguvu ya Tusker Malt labda nami ningemwaga chozi. Mnywaji mwenzangu akashangaa kwanini nimepata simanzi ya ghafla, nikamsimulia.
Huyu mtu akaniambia neno ambalo limenifanya nitafakari kwa kina usiku kucha......... Namnukuu: "Ndugu yangu, Mwache Mungu aitwe Mungu na aendelee kukaa hukohuko aliko maana ningepata nafasi ya kukutana naye sasa hivi ningemuuliza KWANINI ULIMCHUKUA BABA YANGU nikiwa bado mdogo nikataabika namna ile?"........ Nilichoka na mpaka sasa nimechoka.....Jamaa alivyonisimulia maisha yake, jinsi mama yake alivyohangaika.......Kweli kila mtu ana swali lake.....Dah!
Nami najiuliza.... Hivi ningepata nafasi ya kukutana na Mungu akanipa nafasi ya kumuuliza au kumwambia chochote ningemwambia na kumuuliza nini?.....
Kwanza ningeanza na shukrani:
Ahsante kwa kuniumba Mwanaume..... manake angeniumba mwanamke ningemuuliza kwanini ameniumba mwanamke.
Ahsante kwa kunipa mke mzuri (japo kwa ubinadamu wangu huwa natelezaga) na mabinti wawili wazuri.
Ahsante kwa kunipa wazazi wanaonipenda na kunijali sana
Ahsante kwa kunipa ndugu, marafiki, majirani tunaoheshimiana na kupendana sana.
Then lazima ningemuuliza;
Kwanini tatizo hili limetokea kwenye familia yetu?..... Kwanini kwetu?......... Ningemuuliza mbona kila siku tunakuomba kwenye maombi/sala utuondolee hili tatizo lakini huliondoi?........Lazima ningemuuliza...Niape?
Kuna mtu mwingine huku angekuwa na Swali kama angekutana na Mungu na kupewa nafasi ya kumuuliza?
Kama alivyonambia ndugu yangu, mwacheni Mungu aitwe Mungu......... Na aendelee kukaa huko aliko.
AMINA.
Leo ODM yuko kimajonzi zaidi.
Harudi kitandani wala nini. Anajiuliza tu.
Hali yangu kama yako sheikh.... Ijumaa ndo hiyo na vyungu vinakatia tu, Alhamdulillah.Babu aka Tajiri wa upeo hali yako ya leo?
Nadhani enzi zetu tulikuwa tunawaita machekibobu.kweli na ubabu wangu wote huu naitwa sharobaro
may be maana ya sharobaro imebadilika na ngoja nimuulize babu Asprin na Mungu mwenyewe anipe definition ya sharobaro
Hivi angekuwa anajipa break.....ingekuwaje mathalan ndo umevamiwa na majambazi yanataka kukubaka afu ye ndo kwanza amepumzika.......... God forbid!Duh! Naona Mungu has not been given a break bado...lol... Kweli analo...
Hivi angekuwa anajipa break.....ingekuwaje mathalan ndo umevamiwa na majambazi yanataka kukubaka afu ye ndo kwanza amepumzika.......... God forbid!