Ukikutana na simba ghafla, fanya haya..

Ukikutana na simba ghafla, fanya haya..

Mdakuzi Mkuu, uliyeanzisha uzi huu na wachangiaji wengine mmenifanya nicheke sana na kuongeza umri wa kuishi duniani. Huyu Simba atakuwa yule mwenye makazi ktk ghorofa la mtaa wa Msimbazi Kariakoo jijini Dsm.
 
Labda sio simba wa awamu ya Anko wee..sa ivi na wao wanaisoma kimya kimya.Walikuwaga hawal mizoga awam zilizopita wakat mambo yakiwa saw sio leo kamanda.
 
mm nikimwona nina mpigia PUNYETO TUUUUUU mpaka mwenyew ataondoka.
 
kwaiyo unataka alikiba awe analala kifudi fudi kila anapokutana na diamond...kama unamzungumzia simba wa ruaha national park ambaye anaweza kutambua huu ni mzoga au fresh ushindwe kabisa..me nikikutana na simba ni mbioooooo ni bora anikamate nikiwa nakimbia sio et nimelala kifudi fudi hata nitafuna kwa raha
 
Hahahaha sijui kama ntafika kujilaza chini kabla sijatoa mishuzi na uha..r.o
 
>>>>>Hapo unalala Chali unamsubiria akusogelee...... Unajikaza unaachia Shuzi mapacha ...... Hapo lazima atoke nduki akijua kuwa amevamiwa...
 
Kaka simba ni shughuli nyingine, Jamaa mwenye gari alimuona Simba kalala barabarani, jamaa akajifungia ndani kimya akawa anasubiri matokeoView attachment 457066

Jamaa wa Bodaboda akaona jamaa kapaki njianai na anamuwekea usiku, akaja na maspeed yake akaipita gari, kutaamaki uso kwa uso na Mzee wa pori, na mwili wa Bianadamu ulivyo hata kama ulikuwa hujapata choo wiki nzima hapo lazima kitoke kitu laini kabisa, inawezekana jamaa alienda kuitupa suruali mbele ya safari
View attachment 457068

Mpaka mzee anasimama bodaboda alishatokomea kwenye mapori
View attachment 457069
Bro umetisha sanaaaaaaa [emoji2] [emoji2] kweli wewe kituko.
 
Hizi hadithi ni za kisimulia watoto wakati mkisubiri Mama asonge ugali.

Uwapo porini au sehemu yoyote ya wazi, halafu ghafla ukamwona simba (akiwa amekupa mgongo) na wakati yeye akiwa hajakuona na wakati huo ukijua kabisa muda wowote atakapogeuka anakuona, LALA CHALI KIFUDIFUDI!

Simba atakapogeuka na kuona umelala, atakusogelea na kuanza kukugusa-gusa kwa miguu yake na masharubu. Jikaze tu usitikisike.Kwa kufanya hivyo, atafikiri wewe n mzoga, na simba halagi mzoga, anakula fresh kitu kinachotoa damu!

Atakaa hapo pembeni yako kwa muda kadhaa akiwa kama anakusubiria,we jikaze tu, usikohoe,kupiga chafya, kujigeuza au kucheka!

Baadae taratibu ataanza kuondoka zake, huyoooo...
Kwa jicho la wizi, unamcheck tu taratibu akiwa anatokomea,akishapotea mbali, unanyanyuka zako na kwenda zako nyumbani huku nguo yako ikiwa imelowana...
 
Kugusa kwa simba sio kama unavyofikiri, akikugusa lazima damu zikutoke na ndipo utapimwa. Hata fisi watasogea kuvuta mguu tuone kama utalala kifudifudi, ukilala kifudifudi utajuaje kama kafika mbali? Siku ya kufa usifananishe na siku za uhai wako!!!
 
Simba!! temea mate chini, kama wewe ni mkiristu piga alama ya msalaba na muombe radhi Yesu kwa kumtembelea bila taarifa , na kama wewe ni Muislam soma Ayat al kurusiy iko kwenye surat al bakara
Mdau umetshaa Mecheka kwa sauti
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom