Ukikutana na simba ghafla, fanya haya..

Ukikutana na simba ghafla, fanya haya..

Uwapo porini au sehemu yoyote ya wazi, halafu ghafla ukamwona simba (akiwa amekupa mgongo) na wakati yeye akiwa hajakuona na wakati huo ukijua kabisa muda wowote atakapogeuka anakuona, LALA CHALI KIFUDIFUDI!

Simba atakapogeuka na kuona umelala, atakusogelea na kuanza kukugusa-gusa kwa miguu yake na masharubu. Jikaze tu usitikisike.Kwa kufanya hivyo, atafikiri wewe n mzoga, na simba halagi mzoga, anakula fresh kitu kinachotoa damu!

Atakaa hapo pembeni yako kwa muda kadhaa akiwa kama anakusubiria,we jikaze tu, usikohoe,kupiga chafya, kujigeuza au kucheka!

Baadae taratibu ataanza kuondoka zake, huyoooo...
Kwa jicho la wizi, unamcheck tu taratibu akiwa anatokomea,akishapotea mbali, unanyanyuka zako na kwenda zako nyumbani huku nguo yako ikiwa imelowana...
Bila shaka unatumia ngada kwa staili hiyo...itabibidi ujiandae kwenda sober house mkuu
 
Mkuu unaongelea simba wa ZOO? Maana huyu simba wa NATGEO Wild ukikutana nae ghafla huwa hamna shotkat zaidi ya kufuata prisija hizi;
1. Kimbia kadiri uwezavyo utafute pakujisitiri.
2. (a) No. 1 ikikushinda, unatakiwa ukae mkao wa adabu na umsalimie kwa utashi wa hali ya juu, "SHIKAMOO KAKA/DADA SIMBA." Mda mwingine simba huwa anaelewa kiswahili kwa hiyo anaweza akakuelewa.
(b) Hapa utatakiwa usali sala zako zote za dharura na mara nyingi njia hii inakwenda sambamba na namba 2(b) hapo juu.
3. Hapa utapata sekunde chache za kujiandaa kisaikolojia tayari kwa kuliwa, yani unaweza kuwaza jinsi atakavyo kusambaratisha utumbo na vitu kama hivyo.
 
Uwapo porini au sehemu yoyote ya wazi, halafu ghafla ukamwona simba (akiwa amekupa mgongo) na wakati yeye akiwa hajakuona na wakati huo ukijua kabisa muda wowote atakapogeuka anakuona, LALA CHALI KIFUDIFUDI!

Simba atakapogeuka na kuona umelala, atakusogelea na kuanza kukugusa-gusa kwa miguu yake na masharubu. Jikaze tu usitikisike.Kwa kufanya hivyo, atafikiri wewe n mzoga, na simba halagi mzoga, anakula fresh kitu kinachotoa damu!

Atakaa hapo pembeni yako kwa muda kadhaa akiwa kama anakusubiria,we jikaze tu, usikohoe,kupiga chafya, kujigeuza au kucheka!

Baadae taratibu ataanza kuondoka zake, huyoooo...
Kwa jicho la wizi, unamcheck tu taratibu akiwa anatokomea,akishapotea mbali, unanyanyuka zako na kwenda zako nyumbani huku nguo yako ikiwa imelowana...
Nimeamini kweli bangi sio kitu kizuri.
 
Asante kwa ushauri
402fafc3654a2b444b43f553644c2ff0.jpg

Nadhani utajifunza kitu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] unapona kwa simba mara fisi nae anakusogelea hapo ndugu hawa jamaa wazee wa opportunity awanaga mda
 
dawa ni kutimua mbio na kuparamia mti wowote kama upo karibu. Ukilala chali akakugeuzageuza kwa makucha yake lazima ujinyee
 
Simba ni mwingi wa aibu we mkazie macho tu akikuangalia we usipepese macho unamkazia tu,unashangaa uyo anaondoka zake.
 
Uwapo porini au sehemu yoyote ya wazi, halafu ghafla ukamwona simba (akiwa amekupa mgongo) na wakati yeye akiwa hajakuona na wakati huo ukijua kabisa muda wowote atakapogeuka anakuona, LALA CHALI KIFUDIFUDI!

Simba atakapogeuka na kuona umelala, atakusogelea na kuanza kukugusa-gusa kwa miguu yake na masharubu. Jikaze tu usitikisike.Kwa kufanya hivyo, atafikiri wewe n mzoga, na simba halagi mzoga, anakula fresh kitu kinachotoa damu!

Atakaa hapo pembeni yako kwa muda kadhaa akiwa kama anakusubiria,we jikaze tu, usikohoe,kupiga chafya, kujigeuza au kucheka!

Baadae taratibu ataanza kuondoka zake, huyoooo...
Kwa jicho la wizi, unamcheck tu taratibu akiwa anatokomea,akishapotea mbali, unanyanyuka zako na kwenda zako nyumbani huku nguo yako ikiwa imelowana...
Simple like THAT...![emoji22] usimjaribu MUUMBA wako? Hapo unamjaribu koz jiulize jee waweza jikaza usicheke na waweza zuia Heartbeat unapojua waweza kufanywa kitoweo in a second.? Dont ever try this at the National Park
 
Hiyo technic ni kwa mnyama yeyote hata nyoka ukianza wewe kumuona unatkiwa kuwa mtulivu, sasa inategemea na ujasiri wa mtu kwa sababu hao viumbe wanatisha sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom