maalimu shewedy
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 860
- 692
Sasa huyo koboko atskuelewaje kwa mfanoHiyo technic ni kwa mnyama yeyote hata nyoka ukianza wewe kumuona unatkiwa kuwa mtulivu, sasa inategemea na ujasiri wa mtu kwa sababu hao viumbe wanatisha sana.