Hii ni sawa na kuikinga risasi kwa kifua,kujiokoa mikononi mwa simba ni kutoka nduki na kupanda juu ya mti tu,simba/mbwa/chui/paka wana uwezo wa kutambua km kiumbe kiko hai ama mfu kwa kumnusa hata kijikaushe vipi....usipotoshe watu,km hujawahi hata kumuona simba kwa karibu(sio simba wa maonyesho) bora unyamaze tu yule mnyama hatari bwashee...kijijin kwetu wamesumbua sana hawa wanyama usiombe mkuu....Uwapo porini au sehemu yoyote ya wazi, halafu ghafla ukamwona simba (akiwa amekupa mgongo) na wakati yeye akiwa hajakuona na wakati huo ukijua kabisa muda wowote atakapogeuka anakuona, LALA CHALI KIFUDIFUDI!
Simba atakapogeuka na kuona umelala, atakusogelea na kuanza kukugusa-gusa kwa miguu yake na masharubu. Jikaze tu usitikisike.Kwa kufanya hivyo, atafikiri wewe n mzoga, na simba halagi mzoga, anakula fresh kitu kinachotoa damu!
Atakaa hapo pembeni yako kwa muda kadhaa akiwa kama anakusubiria,we jikaze tu, usikohoe,kupiga chafya, kujigeuza au kucheka!
Baadae taratibu ataanza kuondoka zake, huyoooo...
Kwa jicho la wizi, unamcheck tu taratibu akiwa anatokomea,akishapotea mbali, unanyanyuka zako na kwenda zako nyumbani huku nguo yako ikiwa imelowana...
Simba dume...we!Simba akinusa mzoga anaujua...!
Labda uvizie wakati anakunusa makalio, halafu utoe shuzi la kimzoga mzoga!
Simba katoto ila sio mama au baba simba..Ukikutana na simba unacheza kamari hapo. Simba ni mnyama mwenye akili sana na hupenda udhaifu, husoma mazingira kabla ya kuvamia. Usioneshe udhaifu wala usitishie, simama wima bila kutetemeka, mwangalie machoni na usiyumbe akikutisha. Kama hana hasira (charge) au njaa sana ataondoka. Ukionesha hofu mwafaa!
Ntamtupia kipande cha Godoro la QFL alaleUwapo porini au sehemu yoyote ya wazi, halafu ghafla ukamwona simba (akiwa amekupa mgongo) na wakati yeye akiwa hajakuona na wakati huo ukijua kabisa muda wowote atakapogeuka anakuona, LALA CHALI KIFUDIFUDI!
Simba atakapogeuka na kuona umelala, atakusogelea na kuanza kukugusa-gusa kwa miguu yake na masharubu. Jikaze tu usitikisike.Kwa kufanya hivyo, atafikiri wewe n mzoga, na simba halagi mzoga, anakula fresh kitu kinachotoa damu!
Atakaa hapo pembeni yako kwa muda kadhaa akiwa kama anakusubiria,we jikaze tu, usikohoe,kupiga chafya, kujigeuza au kucheka!
Baadae taratibu ataanza kuondoka zake, huyoooo...
Kwa jicho la wizi, unamcheck tu taratibu akiwa anatokomea,akishapotea mbali, unanyanyuka zako na kwenda zako nyumbani huku nguo yako ikiwa imelowana...
[emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] nimecheka sana.Umevuta zawapi mkuu?
[emoji2] [emoji2]Simba akinusa mzoga anaujua...!
Labda uvizie wakati anakunusa makalio, halafu utoe shuzi la kimzoga mzoga!
[emoji2] [emoji2]Kiroba ukijumlisha na ugumu wa maisha ni Noma.
Ucheke au ulie!!!mi sitaweza kujizuia lazima nitacheka nikiwa nimelala kifudifudi