Ukikutana na simba ghafla, fanya haya..

Ukikutana na simba ghafla, fanya haya..

Mdakuzi mkuu

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2016
Posts
212
Reaction score
720
Uwapo porini au sehemu yoyote ya wazi, halafu ghafla ukamwona simba (akiwa amekupa mgongo) na wakati yeye akiwa hajakuona na wakati huo ukijua kabisa muda wowote atakapogeuka anakuona, LALA KIFUDIFUDI!

Simba atakapogeuka na kuona umelala, atakusogelea na kuanza kukugusa-gusa kwa miguu yake na masharubu. Jikaze tu usitikisike.Kwa kufanya hivyo, atafikiri wewe n mzoga, na simba halagi mzoga, anakula fresh kitu kinachotoa damu!

Atakaa hapo pembeni yako kwa muda kadhaa akiwa kama anakusubiria,we jikaze tu, usikohoe,kupiga chafya, kujigeuza au kucheka!

Baadae taratibu ataanza kuondoka zake, huyoooo...
Kwa jicho la wizi, unamcheck tu taratibu akiwa anatokomea,akishapotea mbali, unanyanyuka zako na kwenda zako nyumbani huku nguo yako ikiwa imelowana...
 
Uwapo porini au sehemu yoyote ya wazi, halafu ghafla ukamwona simba (akiwa amekupa mgongo) na wakati yeye akiwa hajakuona na wakati huo ukijua kabisa muda wowote atakapogeuka anakuona, LALA CHALI KIFUDIFUDI!

Ni kweli kabisa hivyo ndivyo inavyotakiwa kufanya kwa maandishi lakini ila katika uhalisia, ni story nyingine
 
Simba!! temea mate chini, kama wewe ni mkiristu piga alama ya msalaba na muombe radhi Yesu kwa kumtembelea bila taarifa , na kama wewe ni Muislam soma Ayat al kurusiy iko kwenye surat al bakara

hatariii
Mmmmmhhhh sasa hapo shuzi likinitoka tena lenye sauti kama honi ya Pantoni itakuwaje

Analala na wewe mbele.Unakuwa kitoweo
 
Uwapo porini au sehemu yoyote ya wazi, halafu ghafla ukamwona simba (akiwa amekupa mgongo) na wakati yeye akiwa hajakuona na wakati huo ukijua kabisa muda wowote atakapogeuka anakuona, LALA CHALI KIFUDIFUDI!

Simba atakapogeuka na kuona umelala, atakusogelea na kuanza kukugusa-gusa kwa miguu yake na masharubu. Jikaze tu usitikisike.Kwa kufanya hivyo, atafikiri wewe n mzoga, na simba halagi mzoga, anakula fresh kitu kinachotoa damu!

Atakaa hapo pembeni yako kwa muda kadhaa akiwa kama anakusubiria,we jikaze tu, usikohoe,kupiga chafya, kujigeuza au kucheka!

Baadae taratibu ataanza kuondoka zake, huyoooo...
Kwa jicho la wizi, unamcheck tu taratibu akiwa anatokomea,akishapotea mbali, unanyanyuka zako na kwenda zako nyumbani huku nguo yako ikiwa imelowana...
hahahaha, ungelijua wanyama wanao uwezo kunusa na kugundua kama ichi kiumbe kinapumua, kina damu mbichi ama la,.usingeongea hayo. hata hivyo jua kuwa sio simba wote hawali mzoga, simba yeyote ambaye njaa imemshika na hakuna mawindo yanayoonekana karibu, anagombania mzoga hadi na fisi.
 
Simba anajua kiumbe kilichokufa na kumbuka wewe kukutana na Simba sio bahati mbaya maana yeye ukiwa umbali Wa mail 2 anapata harufu yako vizuri tu na anaelewa ni binadamu yupo hapa kama hataki kukutana na wewe anabadili uelekeo tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom