Ukikutana na mtu kwa mara ya kwanza

Ukikutana na mtu kwa mara ya kwanza

Napenda nijue kama ameoa au ameolewa ili nijue mipaka yangu yakuongea...
 
Great mkuu "usinywe naye kinywaji" kivipi?

Ukipiga kinywaji unajikuta hata zile precautions ulizotaka kuzichukua huzichukui tena,

Mfano: wewe ni mwongeaji na hukutaka ijulikane day 1, ukinywa utajikuta umejiachia.
 
Binafsi napenda ajue kama mimi najua mengi

Samahan ID yako ya zaman ilikuwa inasomesha je?

Hahahaha mkuu mwaka mpya na mambo mapya

akijua unajua mengi atakuita "much know"
 
Mara unaagiza bia nyingine ya kwanza haijaisha,mara una njaa, umeanza kujipodoa,unasema wapita njia,unajipiga selfie,unasimama unakaa khaaa!!
ha hahaha hapo nafanya baada ya kupata kilichonileta
 
Mkuu kama umeanza kwa maigizo basi jaribu kuyamaintain

Mkuu yale maigizo bila camera wala director ni magumu

I wonder watu wanayaweza vipi!
 
Ukipiga kinywaji unajikuta hata zile precautions ulizotaka kuzichukua huzichukui tena,

Mfano: wewe ni mwongeaji na hukutaka ijulikane day 1, ukinywa utajikuta umejiachia.

Kumbe unaongelea baadhi ya vivywaji ngano mkuu!!

Ila soft kama juice,soda,maji ni poa
 
Lol!!kwangu mm hakunaga cha kupretend aisee nilivyo ndo nilivyo,mpole fulani hv siongeagi nasikiliza tu ntajibu mara moja moja,ila kama kuna mpira halaf awe anacheza Arsenal ntamsahau kwa muda
 
Kumbe unaongelea baadhi ya vivywaji ngano mkuu!!

Ila soft kama juice,soda,maji ni poa

Hizo ndo zinahusika first meeting, ngano noma maana wengine confo linaongezeka unajikuta unaulizwa kidogo unajibu mengiii.
 
Jinsi nilivyo ndo itakuwa hivyo hivyo nikikutana na mtu kwa mara ya kwanza
 
Lol!!kwangu mm hakunaga cha kupretend aisee nilivyo ndo nilivyo,mpole fulani hv siongeagi nasikiliza tu ntajibu mara moja moja,ila kama kuna mpira halaf awe anacheza Arsenal ntamsahau kwa muda

Tabia ya kujibu mara moja moja huwa ni ya "Ke" na inawatesa sana machizi!
 
Back
Top Bottom