Ukikutana na mtu kwa mara ya kwanza

Ukikutana na mtu kwa mara ya kwanza

Mkuu hao watu uliowataja sidhani kama ndo utakuwa unakutana nao for the first time..Mtu mpaka awe mpenzi,rafiki au ndugu it means u've met them before and u know your connection japo kidogo
Labda cha msingi ni
Kujiamini,stay positive,Acha maigizo unless kama utaweza kuyamaintain,Tabasamu nalo ni muhimu coz linampa mtu confidence/uhuru wa kuongea na ww

Ila mkuu tabasamu linategemea na sura, ukiwa na sura kama ya King Kong III ukijifanya kutabasamu noma.
 
Nataka nionekane kilaza mambo ya kuanza kuombana hela siyawezi na Magufuli alivyo bana hela hadi mafisadi inataman ihamie sector binafsi!!
 
Mkuu hao watu uliowataja sidhani kama ndo utakuwa unakutana nao for the first time..Mtu mpaka awe mpenzi,rafiki au ndugu it means u've met them before and u know your connection japo kidogo
Labda cha msingi ni
Kujiamini,stay positive,Acha maigizo unless kama utaweza kuyamaintain,Tabasamu nalo ni muhimu coz linampa mtu confidence/uhuru wa kuongea na ww

"Kuacha Maigizo"

Hii inawashinda wengi
 
Teh teh..Mkuu hii mada inazungumzia binadamu sio wanyama..King kong III sio binadamu

Mkuu nazungumzia sura iliyoko kwenye avatar ya member mwenzetu humu anaitwa King Kong III , huyu akitabasamu inakuwaje!

King Kong III.jpg
 
Ukikutana na mtu mara ya kwanza usinywe naye kinywaji!

Pia inategemea na mnakutana kwa sababu gani, nini malengo ya huo mkutano, nini unataka kiwe baada ya huo mkutano.

Mfano ukikutana na mtu kwa mara ya kwanza na ni interview ya kazi ni lazima ufunguke aujue uwezo wako katika fani husika.

Kukutana na mtu unayetaka awe mchepuko ni tofauti na mtu unayetaka awe njia kuu.

n.k

Great mkuu "usinywe naye kinywaji" kivipi?
 
Binafsi napenda ajue kama mimi najua mengi

Samahan ID yako ya zaman ilikuwa inasomesha je?
 
Back
Top Bottom