Ukikutana na mdada ana mikato dizaini hii unapata picha gani?

Bushmamy

JF-Expert Member
Aug 18, 2019
7,022
2,000
Kuna ambao tupo nao jirani hapa ni balaa. Wana nyumba kali mtaa mzima hakuna mwenye nyumba kama Hiyo, na pia hawataki mazoea na mtu wala hawana wanaume
 

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
15,459
2,000
Nilikuwa nae mmoja. Muda unakula papuchi ukiwa unachochea yeye anasema "kitu kitu kitu kitu" ukiacha kidogo anakasirika anakuambia aaaah mbona unazingua sasa. Ukiendelea anaanza tena "kitu kitu kitu kitu".. She was so sweet lkn.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, mpira pasi. Tunasubiri nini kuirusha hiyo # pm? Mi ndio donlucchese a.k.a mzee wa "KUTEMA MATE KUSHOTO NA KUFUKIA KULIA"
 

Chen Hu

JF-Expert Member
Mar 27, 2012
4,229
2,000
Kuna mmoja wa type hizi ni konda wa masaki-simu2000
Mwingine alikuwa na rasta alikuwa anaonekana ubungo msewe
Mwingine nilikuwa namwona UDSM
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom