Unakataa njoo chuga chugani mzeeHuyu sio mdada bhana. Wewe endelea kujidanganya ni mdada ujichanganye upakwe baby care
Eeeh, mkuu ng'wanamalundi nini? Kwamba ng'wana shimba nang'we shimbaNavuka Bahari ya Hindi kwa miguu
Apia?Nasikiaga n wataam hatari ila hawawezi kunyambulika kitandani
Mweh?Samahani mtoa mada umejuaje huyu ni mdada?
Mtaani tuHicho kiswahili ulikiokota wapi?"Mdada"?
Hivi ukimtest anaweza kukuzingua? Kuomba maliUku mitaa ya kwetu wapo wawili Ila kampani zao ni boys tu na uvaaji wao ni wa kiume full time
Naskia hizo habari, sijui nimdake wapi niweze prove theoryNa wengine huwa n mafundi balaa kwa kitanda
Basi sawa hadithia weweHuyu sio mdada bhana. Wewe endelea kujidanganya ni mdada ujichanganye upakwe baby care
Wanaishi pamoja?Kuna ambao tupo nao jirani hapa ni balaa. Wana nyumba kali mtaa mzima hakuna mwenye nyumba kama Hiyo, na pia hawataki mazoea na mtu wala hawana wanaume
Mwambie ahadithie yeye kimandolu mkubwaUnakataa njoo chuga chugani mzee
Mkuu, mpira pasi. Tunasubiri nini kuirusha hiyo # pm? Mi ndio donlucchese a.k.a mzee wa "KUTEMA MATE KUSHOTO NA KUFUKIA KULIA"Nilikuwa nae mmoja. Muda unakula papuchi ukiwa unachochea yeye anasema "kitu kitu kitu kitu" ukiacha kidogo anakasirika anakuambia aaaah mbona unazingua sasa. Ukiendelea anaanza tena "kitu kitu kitu kitu".. She was so sweet lkn.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila mtu anaishi kwake ila kuna muda huwa wanalala pamoja na kuondoka asubuhi kwenda kwenye biashara zao, nashindwa kuwaelewa mimiWanaishi pamoja?