Du yani nimemaliza tu kusoma hii thread afu kaingia kwa bahati mbaya huku kwangu na akiwa anaongea na simu...ana bahati baada ya kukata ameapologize!
Huyo wa kwako unamkalisha chini (ikiwezekana mtengenezee na chai), unamfundisha etiquette kwanza..bonge la lecture afu ndo unampa huduma anayoihitaji!!!
Customer Care!
Mhudumie mteja bila kumuonesha kwamba umekerwa na zaidi ya yote mpatie simu ili aweze kumalizia maongezi na wateja wake!
Huwezi jua upeo wa ustaarabu wa wateja wako unaowahudumia, kila mmoja ana yake! si wote wanajua kuheshimu kazi za wenzao, bali wengi wetu tunajua thamani za mahala petu pa kazi.
Na kama huamini hili nawe nenda ofisini/kwenye biashara yake na ufanye alichokifanya kwako na umtazame usoni uone atakuchukulia vipi...
Lakini pia wako watu hawajali na wana-'KIHEREHERE" sitoshangaa utakapokuwa unaongea na simu kwa sauti ofisini kwake akawa akikuuliza "NANI HUYO..EHE ANASEMAJE??!!!"
Tunatfautiana ndio maana tunapaswa kuvumiliana! mkuu saa zingine inabidi kujifunza kuvumilia na kuchukuliana!!!
Kabisa mkuu ni heri kusema kuliko kunyamaza! kuelimishwa na kuelewa ni jambo moja. na kuelimishwa na utoelewa ni jambo jingine!Du yani nimemaliza tu kusoma hii thread afu kaingia kwa bahati mbaya huku kwangu na akiwa anaongea na simu...ana bahati baada ya kukata ameapologize!
Huyo wa kwako unamkalisha chini (ikiwezekana mtengenezee na chai), unamfundisha etiquette kwanza..bonge la lecture afu ndo unampa huduma anayoihitaji!!!
nashukuru pia mkuu karibu tena. Yaani inabidi hakuna njia, katika kutoa huduma inabidi ushuke, ndio maana inatupasa kuwa na maji ya kunywa ofisini ili kupunguza majoto na mapresha ya watu aina hizo! saa zingine afadhali ya huyo wa simu anaeongea tu na saa zingine kutoka nje... je yule anaekuja akaongea na simu ofisini kwako akanyanyuka kitini na kukaa kwenye meza yako ya ofisi huku akifoka na kugonga meza???Ahsante sana, najitahidi sana ila kuna wengine kweli kabisa wanaboa sana inabidi uchukuliane nao tu kama unavyosema upeo wa kufikiria unatofautiana ni kweli kabisa
nashukuru pia mkuu karibu tena. Yaani inabidi hakuna njia, katika kutoa huduma inabidi ushuke, ndio maana inatupasa kuwa na maji ya kunywa ofisini ili kupunguza majoto na mapresha ya watu aina hizo! saa zingine afadhali ya huyo wa simu anaeongea tu na saa zingine kutoka nje... je yule anaekuja akaongea na simu ofisini kwako akanyanyuka kitini na kukaa kwenye meza yako ya ofisi huku akifoka na kugonga meza???
Ila ndio sisi hao!! Kama ilivyo hakuna adabu majumbani na maofisini na kwenye jamii tuko hivyohivyo!
Kabisa mkuu ni heri kusema kuliko kunyamaza! kuelimishwa na kuelewa ni jambo moja. na kuelimishwa na utoelewa ni jambo jingine!
Ningelipenda amuelimishe baada ya kwenda kwake na utenda kama alivyotenda ofisini kwa mwenzake ili apate mfano hai maana sisi watanzania duh! unaweza ueleweshwa ukatoka hapo na kuanza "jamaa nimeenda ofisini kwake anajifanya muchknow sana yule.. mara ooh usiongee na simu ofisini nasi tuna dili kwenye simu....."
Mteja ni mfalme....
mteja ni mfalme....
Hiyo mimi imenitokea saana
nilichofanya ni kuweka tangazo mlangoni
huruhusiwi kuongea na simu while upu ndani ya ofisi yangu...
Mtu akijaribu tu,,
namkunjia uso huku namuonyesha tangazo au namuonesha mlango.....
Siipendi hii tabia,
mwingine simu ina mchiriku au taarabu,na anaongea kama yuko mnadani....
Mimi huwa nawaonesha mlango kwa ishara tu,huku nimekunja uso...
Simu yako haina "option" ya ku-fake call?
Maana mimi binafsi ninge "activate 6 fake calls" na ile anaingia na mimi naanza kupokea na kuongea mpaka angeamua kuondoka!
Hiyo mimi imenitokea saana
nilichofanya ni kuweka tangazo mlangoni
huruhusiwi kuongea na simu while upu ndani ya ofisi yangu...
Mtu akijaribu tu,,
namkunjia uso huku namuonyesha tangazo au namuonesha mlango.....
Siipendi hii tabia,
mwingine simu ina mchiriku au taarabu,na anaongea kama yuko mnadani....
Mimi huwa nawaonesha mlango kwa ishara tu,huku nimekunja uso...
Wafalme wengine wanaturudisha tuliko toka kwenye utumwa.Mteja ni mfalme....
issue itakujaje, boss wako akiliona hilo tangazo na wakati yeye ofisini kwake hajaweka tangazo kama hilo!!