Ukikosea hapa' wewe kwisha!!

wengine bado tupo tupo...rangi,sura ,shepu ndo mpango mzima
teh hata mimi nipo nipo feza sura magari nyumba ndo mpango mzima! tabia peleka kijijini
 
waungwani eti hilo limekaeje? bado naendelea kutafuta madesa' kwa yoyote mwenye maelezo kidogo' si mbaya tukashare mawazo. karibu!!
 

Ni kweli sehemu ya sifa ulizozitaja zafaa sana wakati wa kutafuta mwenzi wa maisha, LAKINI (BUT) mvuto unahusika Zyamwelele haki ya kweli na mambo kama shape ya aidha umbile au sura na rangi ndo sehemu ya kutengeneza mvuto, na pia lazima mwanamke mzuri wa shape (yule mwenye mvuto) akakosa sifa za mke BORA, kwani wako wanawake wazuri na mvuto alafu wana nidhamu, wanajitambua, wanajiamini, na kumcha Mungu ni balaa na wanaume zao wanaishi kama wako PARADISO vile..afu sasa kuna wanawake wabaya wa shape, sura (yaani mvuto hata umulike na TOCHI huoni kitu) hawajitambui, nidhamu kwao ka ugonjwa wa ukoma, na zaidi ya yote ni WACHAWI au wauza gongo..
 

Ni kweli sehemu ya sifa ulizozitaja zafaa sana wakati wa kutafuta mwenzi wa maisha, LAKINI (BUT) mvuto unahusika Zyamwelele haki ya kweli na mambo kama shape ya aidha umbile au sura na rangi ndo sehemu ya kutengeneza mvuto, na si pia lazima narudia tena si lazima mwanamke mzuri wa shape (yule mwenye mvuto) akakosa sifa za mke BORA, kwani wako wanawake wazuri na mvuto alafu wana nidhamu, wanajitambua, wanajiamini, na kumcha Mungu ni balaa na wanaume zao wanaishi kama wako PARADISO vile..afu sasa kuna wanawake wabaya wa shape, sura (yaani mvuto hata umulike na TOCHI huoni kitu) hawajitambui, nidhamu kwao ka ugonjwa wa ukoma, na zaidi ya yote ni WACHAWI au wauza gongo..hapo waonaje?
 
etiii.. km huna hela utaishia kuwaita mademu wazuri shemeji..daah
hii kwangu kali
 
mkuu hii kamba yako imeniacha hoi' asante mkuu!! kazi kwawale ambao bado wanatafuta' Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema awarehemu wafanikiwe kupata wake wema!! ili ndoa zenu ziwe paradiso ndogo kama makusudi ya Mungu.!!
 
mie huwa napenda sana challenge mnazozitoa zinatufanya tujiulize marambili mbili kabla ya maamuzi God bless us @ all
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…