Ukikataliwa Pm, hasira usilete Jukwaani

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nilisahau mkuu, sini255 ulivosema wa mtwara sasa, yule kusini yupo kikazi tu, kama ungekuwa huku mkuu ningemshikilia bango hadi umtafune gozi, anaonekana ni bonge la dada na hana njaa kama hawa wa mtaani.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Simtaki tena sahivi nakimbiza yule ngongoti mliyemkataa
 
Na wewe punguza hasira , kama mtu umemkataa na akaja kudis post zako na wewe ukae kimya
 
Hivo walio dis like wote wametia nia ila mjumbe wa kamati kuu kawakata..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…