Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 75,525
- 185,663
Umeona eehh😊!!! Ndoivo hakuna fomulaaaa
Umeona eehh😊!!! Ndoivo hakuna fomulaaaa
Hii ilibidi itengenezewe bango kubwaaaa pale Mbezi Mwisho.Mimi sio shabiki wa KATAA NDOA ila kwa hili wapo sahihi
OKOA kibunda
Haahaa [emoji1]NAONA SASA TUMEANZA KWENDA SAWA [emoji855][emoji41]
Hayo ndio matumizi ya hela mwanawane usiumie roho.Tena sio utani
Kitu kinamaliza pesa za vidume ni chupi,chupi,chupi
SawasawaHayo ndio matumizi ya hela mwanawane usiumie roho.
Kabisa.Hayo ndio matumizi ya hela mwanawane usiumie roho.
nan kasemaHayo ndio matumizi ya hela mwanawane usiumie roho.
mienan kasema
Sasa chupi nayo ni "neno"?Imeandikwa mtu hataishi kwa mkate ila kwa kila neno litokalo kwa Bwana.
Mkuu siku hizi umekuwa na maneno mafupi yaliyojaa busara.😀Usihudumie mwanamke ambaye hujamuoa.
Je hzo chupi unazihitaji ama la???Imeandikwa mtu hataishi kwa mkate ila kwa kila neno litokalo kwa Bwana.
Which country is this ?Sasa chupi nayo ni "neno"?
Which country is this ?Je hzo chupi unazihitaji ama la???
Na hata hivyo uchunguzi unaonyesha, kuwa kati ya watu wengi walifanikiwa, wana wake zao.Kwani zikiisha si utapata nyingine kuna mtu kakwambia hutapata hela hizo nod za mwisho acha uoga wa maisha
Hadi msanii mkubwa kama ney true boy ameunga mkono hojaTaratibu sera za chama cha 'Kataa Ndoa ' zimeanza kueleweka na kuzidi kujizolea wafuasi.
Sera zake zimeanza kupata wafuasi wengi siku hadi siku.
Kichwa cha habari kingesomeka "KATAA NDOA,OKOA KIBUNDA" kama wenyewe wanavyosemaga.
Age...Mkuu siku hizi umekuwa na maneno mafupi yaliyojaa busara.😀
Jinsia,,,Age...