Ukikaa mbali na jinsia ke unaokoa kibunda

Ukikaa mbali na jinsia ke unaokoa kibunda

kuna jamaa anadai majuzi alikuwa na elfu 30 ameamua kushinda zake geto kwake kucheki games tu mwenyewe. anadai saivi bado ana kibunda cha elfu 25 (30-5=25) maana buku 5 aliitumia kununua mahitaji muhimu apo kati ikiwemo kichupa kimoja kidogo cha vaseline.

anadai kama angeenda kwa mai wake mwajuma adi sasaivi labda angebaki na buku tu maana angehitaji kutumia elfu 10 kwa ajili ya kumpa bidada, 10 ya misosi, buku ya kondomu, buku maji mawili ya kunywa yale ya mia tano mia tano na buku mbili ya boda (10+10+1+1+2=24). kwa bajeti iyo apo ukichukua elfu 25-24=inabaki buku bila chenchi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom