Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 34,309
- 79,941
Kwema Wanazengo!
Sio lengo langu kumkwaza yeyote, lakini embu tujadili kidogo.
Hivi ukijitazama ukajitathmini, Unaishi au Unaishia?
Kama huli chakula ukitakacho, unaishi au Unaishia?
Kama huvai utakacho, unaishi au Unaishia?
Kama hujawahi hata kumiliki usafiri hata wa punda, unaishi au Unaishia?
Kama hujawahi kusafiri nchi za mbali, unaishi au Unaishia?
Kama Akaunti yako haijawahi kufika hata milioni moja achilia mbali milioni kumi, je bado utasema unaishi au Unaishia?
Kama makazi yako na makazi yako ni Kama Karakana, je unaishi au Unaishia?
Kama kazi yako inayokuingizia kipato huifurahii, unaifanya Sura umeikunja, bado utasema unaishi? Mmmh! Labda Kuishia!
Kama ukienda nyumba za ibada kila siku maombi ni Yale Yale, hivi Unaishi kweli au unaishilizia Kama sio kuyoyoma?
Kama hujawahi kulala Hoteli hata ya laki moja Kwa siku, hivi utasema unaishi kweli? Labda kuishilizwa.
Kama hujawahi kuiona Ardhi na milima, na Bahari Kwa chini ukiwa juu ya Ndege, utasema unaishi kweli ndugu yangu, Acha kujidanganya, wewe Unaishia hivyo Kama jua la machweo.
Kama ukienda kununua bidhaa una-bargain, basi jua hauishi Bali unayoyoma.
Embu tutafakari kidogo.
Kuna Wanaoishi
Wanaoishia
Wanaoishlizia
Na mwisho kabisa WALIOISHA
Kuishi, Kuishia, kuishilizia na kuisha