Ukiitwa mwanaume tafuta pesa

Mambo gani ya kudhalilishana mbele za watu sio vizuri ivo#miss irene
 
Basi hakuna kuchezewa hapo ilihali umekubali mwenyewe..
 
Ni hivi mwanaume anayetongoza hovyo na mwanamke anayekubali hovyo wote wana makosa fullstop
Hapo sasa umeongea bila ya kuwa biased. Vipi nije pm tuchati zaidi. N:B Mimi sitongozitongozi hovyo.
 
Hapo sasa umeongea bila ya kuwa biased. Vipi nije pm tuchati zaidi. N:B Mimi sitongozitongozi hovyo.
Sasa mbona ndo nilichokuwa namaanisha tangu mwanzo kwamba wote wanaume na wanawake tuna makosa? Hukuelewa?
 
aisee sawa ila usiwe au tusiwe na hayo mawazo hatukatai mambo si mazuri ila yasiendane na ya mtoa mada
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ imekaa vyema. Mi nataka unipotezee pesa zangu mamii! Unasemaje kuhusu hilo?
 
Unawazungumziaje wanawake wenzio ambao licha ya kufanyiwa yote hayo still wanabinuliwa matako na co-workers wenzao ama wakuu wa idara?
Maana kesi za namna hio zimekuwa reported sana recently.
 
Unajua hii claim yako iko sawa ila ime prove failure kuliko mafanikio kwenye mahusiano mengi. Most women preffer a bold man, mwanaume asiebembeleza anae claim authority kibabe,akitoa kauli moja tu imeisha hiyooo!!!

Sasa kwa sie wanaume wapole ambao ndio tunafit vyema kwenye hizo claims, tuna care sana na kudekeza wanawake mateso kama viburi na usaliti ndio yamekuwa sehemu ya maisha katika mahusiano tunayopitia. Hatimae mtu unachoka unaona bora uwe mshenzi tu life lisonge.
 
Kuna wanawake wanajiheshimu lakini bado wanatongozwa na wanaume wakware haya hapo bado unaona tatizo ni mwanamke? Wanaume ambao wanatongozatongoza hovyo hata kama hawana nia ya dhati siyo tatizo?
Sasa si wakatae kama wanajiheshimu
 
Halafu mkiitwa dhaifu mnshupaza shingo, wote haki sawa..nyooo!!!

We kama unajua mtu atakugonga na kukuacha kabla hata ujamkubalia of which most women know kabla hawajavua chupi kwa nini mtu usimkatae. Tamaa ya hela na magari ndio zitawavua sana vyupi hadi mtie akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…