Ukiisoma hii ni lazima uanzishe ubishi huko uliko... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukiisoma hii ni lazima uanzishe ubishi huko uliko...

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Amicus Curiae, Sep 13, 2012.

 1. Amicus Curiae

  Amicus Curiae JF-Expert Member

  #1
  Sep 13, 2012
  Joined: Sep 12, 2012
  Messages: 1,611
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 145
  Eti Rais wa Nchi anatembea na Wallet ya kuhifadhia fedha? Ya nini sasa wkt kila anapokwenda anakuta kaandaliwa kila kitu...
   
 2. Wa kusoma

  Wa kusoma JF-Expert Member

  #2
  Sep 13, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,316
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Anakuwa nayo bwana kuna baadhi ya viburudisho inabidi avilipie kwa cash money.
   
 3. N

  Nsuri JF-Expert Member

  #3
  Sep 13, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 996
  Likes Received: 183
  Trophy Points: 60
  Nyumba ndogo atazitoaje??lazima awe na wallet
   
 4. W

  Wajad JF-Expert Member

  #4
  Sep 13, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 1,129
  Likes Received: 299
  Trophy Points: 180
  Anatoa zawadi kwa wanaojipendekeza mbele yake hasa watoto na wanawake.
   
 5. Amicus Curiae

  Amicus Curiae JF-Expert Member

  #5
  Sep 13, 2012
  Joined: Sep 12, 2012
  Messages: 1,611
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 145
  Hahaha aya poa nimewasoma wadau, almanusura watu wapigane hapa mtaani kwetu wakibishana kuhusu Mh Rais kutembea na wallet!
   
 6. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #6
  Sep 13, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  mh...wengine wote hawabebi kasoro uyu wa hapa TZ
   
 7. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #7
  Sep 13, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,155
  Likes Received: 1,249
  Trophy Points: 280
  Si kila anayetembea na wallet ameweka hela, wengine wanaweka hadi hirizi
   
 8. Amicus Curiae

  Amicus Curiae JF-Expert Member

  #8
  Sep 14, 2012
  Joined: Sep 12, 2012
  Messages: 1,611
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 145
  Bagah kwanini wa hapa anaibeba???
   
 9. Amicus Curiae

  Amicus Curiae JF-Expert Member

  #9
  Sep 14, 2012
  Joined: Sep 12, 2012
  Messages: 1,611
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 145
  Hahahah haya nimekusoma Waheed!
   
 10. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #10
  Sep 14, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,781
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  Hahahaaa...
   
 11. KML

  KML JF-Expert Member

  #11
  Sep 14, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 863
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  yani madongo ya hii comment yanamwelekezea papaa JK wakat mtoa mada hajaspecify rais gani
   
 12. peoples power

  peoples power JF-Expert Member

  #12
  Sep 14, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 468
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  wakwetu anabeba kwa ajiri ya kuwekea pipi za watoto.
   
 13. Mtanzanika

  Mtanzanika JF-Expert Member

  #13
  Sep 17, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 2,209
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  mbona huna nidhamu wewe na Rais wa kwenu!!
   
 14. L

  La Voz Member

  #14
  Sep 17, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 74
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hukumbuki alinaswa na ma cctv kameramaney kule dubei kipind kile akipiga boonge la shopping center ,
   
 15. Kauzu Kinyama

  Kauzu Kinyama Member

  #15
  Sep 19, 2012
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sasa cha ajabu ni nini?kuwa rais haimaanishi kuwa usiishi km binadamu wengine hasa km matendo hayaathiri jamii
   
 16. MatikaC

  MatikaC JF-Expert Member

  #16
  Sep 19, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 1,200
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  itakuwa ni mazoea tu, hata obama hakutaka kuiachia brackberry yake
   
 17. B

  Barbaric Member

  #17
  Sep 20, 2012
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ndani ya nchi hatembei nayo , lakini nje anakuwa nayo
   
Loading...