Condom hawavai, na ndio kifo cha wazi.
unadhani helmet watavaa? Tuombe Mungu
Condom hawavai, na ndio kifo cha wazi.
unadhani helmet watavaa? Tuombe Mungu
Eti ili usijesukumwa ukaangukia kichwa ukapata brain concussion!
Yale yale
Aaaah, mi nimesema tu...Mwali.......................................!!??????????????
ktk eneo la tukio unaenda unaendesha bodaboda,huyooo unazama na helmet lako!unalianzisha bila kuvua!inawezekana aisee!