Ukiingia cha kike tarajia kuyaona ya kike

Sakayo ukuje fakalava kaliamsha dude tena
Wadau, niweke mambo sawa. Huu siyo muendelezo wa ule uzi na kama umesoma vizuri utaona jinsi nilivyojaribu kuweka mambo sawa dhidi ya wanawake waliokuwa wanatupiwa lawama.
Na huku tena mhhhh
cc Ngoda95

Aiseeh! That was thread of the week si mnaona??

Cc Smart911

Mmeanza tena.. Mnatamani mapovu eeh.. Ngoja wanagurupu wakuje

dudeeee duuu ukitoka wasup mkuu nichek nikwambie kwengine kwa kuja kulitibua fakalava
 
Kuna aina mpya ya pilau imeingia, inaitwa PILAU MAKINIKIA, maana yake nyama unazitafuta kwa mbali sana na wakati mwingine usiambulie kabisa. Chondechonde wenye mpango wa kutualika kwenye Idd msitumie aina hiii. ‍♀‍♀
 
Group langu la watsap halijawahi kuniangusha.

Namshukuru sana aliyeniunganisha

Holla at you naniliuuuuuu
 
Back
Top Bottom