issac77
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 5,858
- 12,767
kama hivi Kichwa KichafuKumtag issac77 anza na @ andika jina la unaetaka kumtag.
Usiache nafasi kati @ na hilo jina.
[emoji116] [emoji116] [emoji116]
@ issac77
kama hivi Kichwa KichafuKumtag issac77 anza na @ andika jina la unaetaka kumtag.
Usiache nafasi kati @ na hilo jina.
[emoji116] [emoji116] [emoji116]
@ issac77
dada me sitaki leo sijui kama siku itaisha salama kwetu kumbe ulikesha na dimaaMie usiku sijalala ujue... Hebu Tusubirie
Tulikuwa na dimaa, Mondray, Maserati, Asprin na mleta uzi...dada me sitaki leo sijui kama siku itaisha salama kwetu kumbe ulikesha na dimaa
Inasikitisha sana...
hahahha hiyo saa 10 alfajiriTulikuwa na dimaa, Mondray, Maserati, Asprin na mleta uzi...
Mondray kawa wa kwanza kuitwa pm karudi amelowaa
Ndiooohahahha hiyo saa 10 alfajiri
kwahiyo uzi uliwekwa saa ngapiNdiooo
Sijuii hata mie nimeingia saa kumi nakuta page ya 12kwahiyo uzi uliwekwa saa ngapi
AiseeeSijuii hata mie nimeingia saa kumi nakuta page ya 12
Watu wamegomaMmeanza tena.. Mnatamani mapovu eeh.. Ngoja wanagurupu wakuje
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tulikuwa na dimaa, Mondray, Maserati, Asprin na mleta uzi...
Mondray kawa wa kwanza kuitwa pm karudi amelowaa
Magroup ya whatsapp tena!
Aiseee
Njoo pm![emoji23][emoji23] nilijua tu ban ilikua inamnyemelea, huez ukawa unatukana ovyo kama tarumbeta bwana. Sasa hasira hasara, heri kukosea kuvaa nguo ya ndani kuliko kutokua na maarifa