Ukigundua Rais anatembea na mkeo utafanyaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukigundua Rais anatembea na mkeo utafanyaje?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Kashaijabutege, Jan 4, 2011.

 1. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #1
  Jan 4, 2011
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Mkeo kaacha simu yake ya mkononi wakati akiwa bafuni anaoga na kasha kuaga kuwa anaenda kitchen party. Mara simu inalia na unaamua kuipokea. Unasoma jina ni la Rais wa nchi yako. Hauamini. Unapokea simu na anayekujibu unamtambua kwa sauti yake kuwa kweli ni Rais wako wa nchi. Naye bila kujua kuwa aliyepokea ni tofauti na hawala yake, anakwambia 'Wahi nakusubiri ikulu, pitia geti la Waziri Mkuu'.

  Utamruhusu mkeo aende kitchen party kama alivyodai?
  Utachukua hatua gani baada ya hapo?
   
 2. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #2
  Jan 4, 2011
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Ujinga huo sifanyi.
  No kwenda na hakuana kutoka na kibano atakipata
  Yule yule aliyeonewa na Mugabe si mimi!
   
 3. M

  Mutu JF-Expert Member

  #3
  Jan 4, 2011
  Joined: Mar 30, 2008
  Messages: 1,333
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  andika kitabu
   
 4. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #4
  Jan 4, 2011
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  utata mwanzo mwisho.
   
 5. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #5
  Jan 4, 2011
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,030
  Likes Received: 3,231
  Trophy Points: 280
  Ledga Chila tenga Sio?
   
 6. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #6
  Jan 4, 2011
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Nami nitamtafuta mke wa huyo mheshimiwa nimchape nao :)
   
 7. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #7
  Jan 4, 2011
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Kaka utampata wapi mama huyo? Tupe maujanja hayo.
   
 8. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #8
  Jan 4, 2011
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Ilikuwaje? Ilitokea kwake?
   
 9. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #9
  Jan 4, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,272
  Trophy Points: 280
  Kwanza unachukua No ya simu ya Huyo Rais,Pili unaandaa Taraka!!Unampigia huyo Rais unamwambia kwakuwa mimi niraia sina uwezo wakuvaana na wewe sasa mke chukua na taraka akirudi ataikuta na ninaenda kwenye vyombo vya Habari kuwaeleza kuwa Rais Kanipola mke inakuwa nistori ya siku katika vyombo vya habari!!Lazima akuite myamalize nakama akikuita usiweke bifu utauwawa!!kubali yaishe upewe uwaziri wa chee na wewe kamata demu mwingine maisha yaendelee lasivyo kifokitakuwa kikuita kama utataka kuleta bifu kwa rais!!
   
 10. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #10
  Jan 4, 2011
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Mwaaaa.. Happy Christmas and Merry New Year (nimechanganyikiwa kukuona). I missed you. Utata gani dear? Changia mada basi Cheusi..Please..
   
 11. P

  Paul S.S Verified User

  #11
  Jan 4, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Hapa ukituliza akili unaweza 'kutoka' kiani
   
 12. s.fm

  s.fm JF-Expert Member

  #12
  Jan 4, 2011
  Joined: Jul 8, 2009
  Messages: 669
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  hapo ni kumtafuta mkewe tu..mbona atapatikana! na nikimpata namla kwa haki na taratibu zote na hasira kwa mbaaaaaaali
   
 13. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #13
  Jan 4, 2011
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Mh hiyo avatar yako child mole au?
   
 14. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #14
  Jan 4, 2011
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Kaka mbona yalitokea kwa Sir George Kahama? Nasikia alipogundua naye aliamua kumuoa mdogo wa mkewe (ukoo wa Rutinwa). Yaani Sir George alipogundua akaamua kupiga kwa shemeji yake; na hivyo ameoa wake wawili kutoka familia moja. Mara Balozi, mara CDA, mara Waziri,... katulia tuli...
   
 15. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #15
  Jan 4, 2011
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,530
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Nitamwomba anipe cheo cha Balozi wa Kudumu Umoja wa mataifa ili nimwachie jumla
   
 16. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #16
  Jan 4, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,272
  Trophy Points: 280
  That is only solution other wise you w'll be killed by security agency kwani atasema anataka kunidharilisha sekunde haupo duniani!!
   
 17. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #17
  Jan 4, 2011
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  nenda kamuulize Presdaa wa kwanza wa Zanzibar... aliendaje akhera...!!!
   
 18. Iza

  Iza JF-Expert Member

  #18
  Jan 4, 2011
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,848
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Unachagua moja,aidha kaugonjwa na kula bata (manake ushajua lazima utumie nafasi) au kumpiga chini afu Mkulu aendelee kumega taratibu plus kukosa hizo bata..(japokuwa vyote viwili roho itauma anagalia wapi itauma kidogo)
   
 19. s.fm

  s.fm JF-Expert Member

  #19
  Jan 4, 2011
  Joined: Jul 8, 2009
  Messages: 669
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  hayo ni mafunzo kwa wanandoa
   
 20. JoJiPoJi

  JoJiPoJi JF-Expert Member

  #20
  Jan 4, 2011
  Joined: Aug 8, 2009
  Messages: 2,473
  Likes Received: 1,419
  Trophy Points: 280
  Nitaona kawaida tu, vitu vingine ni kuvipotezea tu ili uishi kwa amani
   
Loading...