Ukigundua Rais anatembea na mkeo utafanyaje?

nitamwambia nenda.lakini usirudi,kalale huko huko.Baadae unampa ukweli wake,mnaachana maana huwezi kushindana na rais.{jamani hii story ni ya kweli?}
 
nitamwambia nenda.lakini usirudi,kalale huko huko.Baadae unampa ukweli wake,mnaachana maana huwezi kushindana na rais.{jamani hii story ni ya kweli?}
=====
Ukitaka kujua hii ni story ya kweli peleleza ndoa za wana mama wote wanaofanya kazi Ikulu kwa sasa. Anza na Premi Kibanga atakupa story nzima.
 
Back
Top Bottom