alitafta upenyo na kutokomea.
Kumbe wanaume, mi napita tu
Huyu mrembo nimemwambia acheki PM ila naona kagoma kabisa, labda wewe da Asha unisaidie.Hilo jina mbona mimi nilifikiri you are a guy....
ms unaweza changia pia. assume wewe ungekishuhudia kidume kinatoa macho ya hofu ya malavidavi na kutimka ungemcheka?
Huyu mrembo nimemwambia acheki PM ila naona kagoma kabisa, labda wewe da Asha unisaidie.
Hilo jina mbona mimi nilifikiri you are a guy....
We mi wifi yako naomba uwe na adabu
Maswaga si ulisema unapita tu!
Si awa watu wamenichemsha umu ndani
Am telling you kaka hajanitambulisha... Is it Eiyer au kaka mwingine...lol
Kaka uyo uyo ila ni siri nimekuibia kidogo mwenyewe kasema mda wa utambulisho bado.
Ok, kaa dada! nimeipenda AVATAR yako CZ napenda watoto.
Am so proud... jamani alishawahi vunjwa moyo yule... pleease do not do that to him again...lol
Inawezekana! maana siku hizi kuna maajabu mengi watoto huwa wanazaliwa na ndevu au mvi! Nakupenda pia.A tusante, mi mwenyewe mtoto je na mimi umenipenda au umependa Avatar