MUME MASKINI
JF-Expert Member
- Jun 11, 2019
- 234
- 323
Hapana zitajwe tu Majina, ili wasimamizi wao wasikie,Mkuu kutaja majina ya makampuni si sahihi sana cuz unaharibu biashara ya watu.
Wewe ndo una makosa kumwamini mpiga debe, we ungetulia na kibegi chako usubiri gari inayopita mda huo udandie pyuuuu mpaka Tanga, sasa ukawaruhusu wapiga debe wakukalishe mpaka saa 9, apo mwenye shida ni wewe.
Ipo kampuni inaitwa MAJINJA,hii bas niliikuta mbea .
Wakati huo mm natoka sumbawanga nimefika mbea saa 12 jion..nikatafuta bus itakayoweza kufanya safar za usiku Mbeya dar…..aisee Ndio Nikaingia ktk hiyo BUS 🚌 MAJINJA Nilichokutana nacho hata bure sitaki pesa yangu mwenyew af inantesa sasa.
Nikakata tiket , nikauliza na muda sa2 usiku bus ndio inaanza safar.
Huwezi amini pale mbea tulitoka sa4 na nusu kwa makelele sana.
Bus ikaanza safari mpka uyole ,tuganda sana pale uyole.ikabidi tuhoji shida ni nni,wakatujib anasubiriwa dereva mwenye safar yake abiria tuvuteni subira anakuja hatokei mbali.
Pale uyole tumetoka saa 6 usiku,dereva kaja anataka kuanza safar sasa taa za mbele haziwaki zemegoma gafla,ikabidi aitwe fundi tkasubiri fundi aje wa hiyo kampuni.
fundi kachokonoa chokonoa pale weee zimewaka,safari ianze tukatembea kidogo hiv mbele kuna trafik wanakaa ukiwapita hao trafiki kuna kamlima aisee gari ikashindwa kupanda inarudi nyuma 😭
Abiria walipiga ukunga,tukashuka salama tukatembea kwa miguu mpaka walipo wale trafiki kwa Msaada zaidi na uzuri abiria wote tuliazimia tubasilishiwe gar hili bus hatulitaki hatuna imani nalo ,aidhaa turudishiwe nauli.
Wao wenye gar wanadai gar lao nizima kwani nijana tu limetoka dar .abiria tunasema gari hili nibov,sasa huyo meneja anachokiongea sasa anakijua yey kalewa domo zito anatukana tu
Abiria tukawa letu nimoja tu gar hili hatuna imani nalo.
Pale wale trafiki walitusaidia jambo moja akapigiwa watu wa latra,wakaambiwa juu ya hiyo shida,mwafaka ikabidi turudishwe mbeya tutaftiwe gari nyingine eidha turudishiwe nauli.
Tukafika mbeya wale jamaa wakatukimbia,Wakaja alfajiri “et abiria Mmeamkaje “
nakumbuka alikuja askari mmoja wa latra huyu jamaa kwakweli ni askari ambae anajua nn anachofanya.
Tukaitwa wote abiria wanao enda dar tupo 35,wanaoshuka iringa 16,mikumi wapo 8,moro goro 23 hawa walikua watu wakanisani
Kila abiria alipandishwa bas yake,yule meneja aliambiwa utajua wewe pakulipa bas ya wenzio.
Kimbembe sie tunaofika dar tukpata costar mpaka iringa,iringa kwa mujib wamakubaliano kuna gar inatusubir ya dar kufika pale iringa gari hiyo inayotusubir alieachiwa gar anadai abiria watoe elf5 kila mmoja,watu wakagoma kushuka.wale jamaa wakaanza kulumbana,kupatikana kwa muafaka akaja mwenyeketi mkoa wawasafirishaji abiria na latra Tena daaah hiyo siku sisahau nafika mmi dar nimedhoofika kishenzi