mbongo_halisi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 6,617
- 4,908
Hhhh hapo mlimani city wadada wengi huwa wanatoka katikati ya jiji hahaha
Kila mwanamke akiingia hapo ni lazima avae kimini ndio atajiona amevaa
Yaani ukikaa hapo kama mwanaume ni lazima utachans chipi kwa kudindisha maana wanawake hatujisitiri tuwapo hapo m cty cijui kwa nn
Umarekani mwingiiii
Maji ambayo mnauziwa mitaani 1500 hadi 2000 yanauzwa 900 yaani Kilimanjaro ya lita 1.5mkuu mi naingiaga tu ila naogopa hata kununua vitu ase sijawahi natmbeaga tu na kufanya huduma zngne kam za kibenki...vp maji na vinywaji kam soda na ice cream ni shngap??
Inawezekana nakuzidi kwa sababu hunijui unaweza kusema hivyo. Nchi ambayo sijafika ni Afghanistani tu.hujatembea wewe
pole
Kuna baadhi ya vitu mfano majiNi kweli mlimani city ni bei rahisi vitu kuliko kitaa?
Modernization TheoryMoja ya sababu ambayo huwa inanipeleka Mlimani City ukiacha kwenda kununua baadhi ya vitu ambavyo madukani ni ghali zaidi kama Maji na vitu vidogo vidogo ni kwenda kupoteza mawazo kidogo kama kushangaa Watanzania wengi wanavyoigiza maisha yao. Lakini inafariji sana kwa muda mfupi. Pale Mlimani City, huwezi kumjua wa Temeke, Gongolamboto au Manzese Uswahilini kabisa. Wote utadhani wanakaa Masaki, Mikocheni au karibia wote kabisa ukiwatazama walivyovaa, wanavyotembea utadhani Taifa hili liko katika Uchumi wa Juu kabisa au kama si wa juu liko katika Uchumi wa Kati. Kumbe ni Usasa tu uliopo Mlimani City (Modernization) na si vinginevyo. Mnajua wale mliosoma nadharia ya Usasa (Modernization Theory). Mmmmmmh!!! Ahsante Mlimani City.
Ahsante sana kwa kuwa na Mlimani City, naomba watengeneze sehemu nyingi zaidi ili shida zetu tukazipoze hapo.
Globalization is a real discourse.
Hakuna kitu kinacholeta umasikin kama kupenda sifa. Utamkuta mtu anakopa mamikion saccoss,vyama vyama ya kusaidiana ili tu ashindane na mtu au majirani kuonekana wa juu kifedha hapo shopping zake ataenda mliman city kujikweza zaidi.
Nenda Nakumat Maji ya Kilimanjaro ya lita 1.5 wanauza 900/- wakat hayo maji mtaani ni 1500/- hadi 1200/-.Nakumbuka 2011 maji ya uhai ya 500 walikuwa wanauza 1500
Sijui alimaanisha nn huyu mtoa post
Upo sahihi kabisa.Hata sukar wakat imeoanda bei mitaani wao bado waliuza reasonable price ila kwa mashart usichukue kilo nyingi,waliweka limitKuna baadhi ya vitu huku mtaani bei iko juu kidogo kuliko mlimani city. Mfano kuna maji ya kunywa ( brand fulani) huku mtaani 1.5L ni Tsh 1500, pale mlimani city ni sh 800 - 1200
kuna mada hazina msingi
Nyerere road kama unatokea Kamataipo wapi hii!
Negativity,nothing else. Kwanini unaona wanaigiza na si kwamba ndio maisha yao halisi? Wewe umeenda hapo hapo je ni sawa mtu mwingine akuchukulie kwa huu mtazamo wako kwamba upo hapo Mlimani City unaigiza?
Is it a big deal to shop at mlimani city, to speak English, to dress
a certain style?
Ona sasa ushaingia hasara Ungenunua pale pale ungelipa 850/=mimi huwa nanunuaga soda ya buku mtaani then nadunda nayo mpaka mlimani city,