Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,605
- 109,231
Port Elizabeth na East London ziko Eastern cape province, ni miji midogo maana yake na opportunity zake ni ndogo.Vp kuhusu mji wa port Elizabeth ukoje kiusalama na utafutaji wa kazi
Miji gani kuna usalama zaidi kwa wageni ndani ya south Africa
Na vip kuhusu mini yenye job opportunities nyingi zaidi kwa huko
Ahsante kwa majibu yenu
Nai sio wabaguzi kwa watz?Port Elizabeth na East London ziko Eastern cape province, ni miji midogo maana yake na opportunity zake ni ndogo.
All in all issue ni connection, hata Nairobi Kenya ukiwa na connection iko pesa nzuri tu.
Kibaharia una kesi ya kujibu.... Mtoto wa kiume unakuwa mmbeya ka pung%%@. Nyie ndo mnapasukaga nchi mbovuUtakuta kuna watanzania walishazamia SA zaidi ya miaka 30, hawana mbele wala nyuma na ndugu zao hawana taarifa zao.
Wenyeji wa Capetown ambao ni Coloureds wanaongea Kiswahili kama Wabongo, hii ni sababu walishajichanganya na Wabongo ambao wengi wanauzia unga na madawa mengine ya kulevya.
Kuna kitongoji kinaitwa Woodstock, kuna Watanzania kibao unaweza ukadhania upo keko.
Wanawake wa ki-coloureds wengi wanawapenda sana Wabongo. Haya ni baadhi ya maajabu ya Capetown, mji ambao naupenda na kila nikipata vijisenti huwa naenda kula bata Campsbay.
Kwahiyo anyamaze?Kibaharia una kesi ya kujibu.... Mtoto wa kiume unakuwa mmbeya ka pung%%@. Nyie ndo mnapasukaga nchi mbovu
Tulia ww hujui kitu.... Au na wewe umepata suna hospital,,,,, ushasikia mwanaume anazungumzia ya jandoni. Na mbona anataja mabaya tu kwani mazuli hamam, hata bongo vile vile huo ubaya aliouona huko upoKwahiyo anyamaze?
Ujinga mwingine bwana..
OK powaTulia ww hujui kitu.... Au na wewe umepata suna hospital,,,,, ushasikia mwanaume anazungumzia ya jandoni. Na mbona anataja mabaya tu kwani mazuli hamam, hata bongo vile vile huo ubaya aliouona huko upo
Umeongea vizuri mkuuNgoja mimi nikufupishie, Dunia nzima kazi ni connection yako na network yako tu.
Wabongo wanafanyakazi kwenye sekta zote kasoro serikalini tu, hii inadepand who are you na who is ur friends.
Wanasemaga show me ur friends then i will tell u who you are....
Kama company yako ni wa dizaini fulani ukienda nchi walipo kampani yako utafanyakazi wanazofanya wao, formula iko hivyo.
Kitu cha ziada kwenye maisha kuna bahati, hii God given unaweza kukutana na network ambayo hukuitegemea na hata uliowakuta wakakushangaa, maisha yanachange na mambo yananyooka.
Nikupe tofauti kubwa ya Nigerians na Watanzania, tofauti kubwa ni hii
Mtanzania aliyekimbia shule anaweza kujipa matumaini akifika South Africa mambo tambarare bila ya kuwa na network au connection yoyote mwisho wa usiku usishangae kukumkita kaajiliwa na Mnigeria kwenye salon au kuuza matunda.
Tofauti na Wanigeria wengi niliowaona mimi nchi ile siyo Teenegers, ni watu wazima tena hadi wazee wenye exposure kubwa, unakuta mtu amesafa Uk kama 20 years amepiga hesabu zake ameona kwa mkaburu hesabu zake zitalipa unawakuta dizaini hiyo wapo wengi, wana network worldwide.
Ni ngumu kwa Mbongo eti atoke Marekani aende kuhamishia maskani yake South Africa kwakuwa anayo capital na ameiona fursa.
Kwa kifupi tofauti yetu na wao ni hiyo, wao hakuna school boys kule ni watu wazima wanaojitambuwa na wanajuwa wanatafuta nini.
Mnigeria hawezi kuuza matunda, lakini anaweza kumuajiri mtu amuuzie matunda yeye anaendelea na mishe nyingine zenye akili.
Yale mambo ile ela tuma kwenye namba hii wenzetu walifanya miaka ya 90 wakati internet ndio inaingia Africa.
Mbona umechukia sana,ahaaa. Ni kupashana habari tu ndugu.Kibaharia una kesi ya kujibu.... Mtoto wa kiume unakuwa mmbeya ka pung%%@. Nyie ndo mnapasukaga nchi mbovu
Mbona mazuri tunayoyapata Summer time tukija kula bata Campsbay au V &A waterfront nimeyataja bro?Tulia ww hujui kitu.... Au na wewe umepata suna hospital,,,,, ushasikia mwanaume anazungumzia ya jandoni. Na mbona anataja mabaya tu kwani mazuli hamam, hata bongo vile vile huo ubaya aliouona huko upo
Itakuwa umekuja na ndege nchi mbovu ndo mana unacharazia mabaharia,,,,Mbona mazuri tunayoyapata Summer time tukija kula bata Campsbay au V &A waterfront nimeyataja bro?
Kuna makande mazuri sana huwa nakula nikiwa Bellville wanauza wadada wakiXosa
Wapo. Tatizo silaha zinauzwa kwa kila mtu.View attachment 1606974
Kibaharia una kesi ya kujibu.... Mtoto wa kiume unakuwa mmbeya ka pung%%@. Nyie ndo mnapasukaga nchi mbovu
Umetumia kigezo gani kusema 80 na sio 97 or 60 or number yoyote ?Nenda kaone kwa macho yako,coloureds 80% wanatumia madawa. Wabongo wanaofanya kazi za kuuza bidhaaa au bandarini ni wachache sana.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Msauzi na mbongo akili zao moja ndo maana wanapendana wote WAVIVU
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16] haaaahaaaa we jamaaa againDuh
Mzee unajikombeleza mno mpaka unaboa yaani...
Eti baba mmoja....kaa kwenu,endeleza nchi yako acha kujijengea ukoo na watu wasikutambua sababu tu wameendelea
What a loss!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1][emoji119][emoji119]Wanaelewana compared to who?Maana ni subjective...
Zimbabweans,Namibians,Lesothos,Malawians,etc are more genetically related to South Africans zaidi ya Watanzania...
Cha ajabu unavuka watu wote hao unatembea karibu kilomita 5,000 unavuka jamii kibao zinazoingiliana na South Africans miaka maelfu na maelfu yaliyopita then wewe Mpare unajifanya eti "Baba Yetu Mmoja"....
Weaker societies hua zinajikombeleza sana na stronger societies na haya ndio unayoonesha....sio wewe tu,hii ni global phenomenon miaka na miaka....wewe ni manifestation ya hii phenomenon tu...
Haaaahaaaa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]hiyo umeona wewe..afterall you are entitled to your own opinion,ila sio fact...maana mimi ndio muhusika,I'm far from kulia..
Nilie sababu kuna kima mmoja kasema Tanzania na South Africans tumezaliwa na baba moja?Really?Nilie kwa sababu hiyo?
What are you smoking aisee?
Namibia kila kitu ni protocolNchi salama ni NAMIBIA, SWAZILAND NA BOTSWANA. Nenda kati ya hizo.
Ila Swaziland kidogo hela sio sana.
Noma sanaNavuta picha kuiona jamii ambayo asilimia 80 ni mateja!!! Yaani katika watu kumi unaokutana nao njiani 8 wawe mateja!! Sidhani!
80%? Hii noma sana, lazima na maambukizi ni makubwa sanaUko sahihi, Nimekaa Cape Town Mitshellsplain kitongoji kimoja kinaitwa Lost City, ni nouma, USA na uhuni wao wote cha Mtoto...
Familia ambazo hazijaathirika na Matumizi ya Dawa za kulevya ni Ama zilizosoma ama zenye Dini.....
I agree kuwa 80% ya Warangirangi ni Wavutaji Madawa.