Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,474
- 7,412
- Thread starter
-
- #81
Ahaaaa, acha hasira,mimi huwa naenda kula bata kisha nafanya mizunguko kuonana na wabongo. Usinifokee please.Umeulizwa wanalipwa kiasi gani?
Usirukeruke kama bata bukini.
Sio wanigeria tu,hata wakameroon wengi wanafanyabiashara kubwa SA lakini wengi walishazunguka sana Europe.Ngoja mimi nikufupishie, Dunia nzima kazi ni connection yako na network yako tu.
Wabongo wanafanyakazi kwenye sekta zote kasoro serikalini tu, hii inadepand who are you na who is ur friends.
Wanasemaga show me ur friends then i will tell u who you are....
Kama company yako ni wa dizaini fulani ukienda nchi walipo kampani yako utafanyakazi wanazofanya wao, formula iko hivyo.
Kitu cha ziada kwenye maisha kuna bahati, hii God given unaweza kukutana na network ambayo hukuitegemea na hata uliowakuta wakakushangaa, maisha yanachange na mambo yananyooka.
Nikupe tofauti kubwa ya Nigerians na Watanzania, tofauti kubwa ni hii
Mtanzania aliyekimbia shule anaweza kujipa matumaini akifika South Africa mambo tambarare bila ya kuwa na network au connection yoyote mwisho wa usiku usishangae kukumkita kaajiliwa na Mnigeria kwenye salon au kuuza matunda.
Tofauti na Wanigeria wengi niliowaona mimi nchi ile siyo Teenegers, ni watu wazima tena hadi wazee wenye exposure kubwa, unakuta mtu amesafa Uk kama 20 years amepiga hesabu zake ameona kwa mkaburu hesabu zake zitalipa unawakuta dizaini hiyo wapo wengi, wana network worldwide.
Ni ngumu kwa Mbongo eti atoke Marekani aende kuhamishia maskani yake South Africa kwakuwa anayo capital na ameiona fursa.
Kwa kifupi tofauti yetu na wao ni hiyo, wao hakuna school boys kule ni watu wazima wanaojitambuwa na wanajuwa wanatafuta nini.
Mnigeria hawezi kuuza matunda, lakini anaweza kumuajiri mtu amuuzie matunda yeye anaendelea na mishe nyingine zenye akili.
Yale mambo ile ela tuma kwenye namba hii wenzetu walifanya miaka ya 90 wakati internet ndio inaingia Africa.
Elephant sealSafi sana.
Hilo jiwe/mlima hapo katikati umefanana na sili mkubwa anayeota jua.
Chadema kwasababu Lissu anamfahamu nakujua kiingereza kifasaha😬😆👌🏿Wanapenda chama gani hao?
Kweli kabisaNgoja mimi nikufupishie, Dunia nzima kazi ni connection yako na network yako tu.
Wabongo wanafanyakazi kwenye sekta zote kasoro serikalini tu, hii inadepand who are you na who is ur friends.
Wanasemaga show me ur friends then i will tell u who you are....
Kama company yako ni wa dizaini fulani ukienda nchi walipo kampani yako utafanyakazi wanazofanya wao, formula iko hivyo.
Kitu cha ziada kwenye maisha kuna bahati, hii God given unaweza kukutana na network ambayo hukuitegemea na hata uliowakuta wakakushangaa, maisha yanachange na mambo yananyooka.
Nikupe tofauti kubwa ya Nigerians na Watanzania, tofauti kubwa ni hii
Mtanzania aliyekimbia shule anaweza kujipa matumaini akifika South Africa mambo tambarare bila ya kuwa na network au connection yoyote mwisho wa usiku usishangae kukumkita kaajiliwa na Mnigeria kwenye salon au kuuza matunda.
Tofauti na Wanigeria wengi niliowaona mimi nchi ile siyo Teenegers, ni watu wazima tena hadi wazee wenye exposure kubwa, unakuta mtu amesafa Uk kama 20 years amepiga hesabu zake ameona kwa mkaburu hesabu zake zitalipa unawakuta dizaini hiyo wapo wengi, wana network worldwide.
Ni ngumu kwa Mbongo eti atoke Marekani aende kuhamishia maskani yake South Africa kwakuwa anayo capital na ameiona fursa.
Kwa kifupi tofauti yetu na wao ni hiyo, wao hakuna school boys kule ni watu wazima wanaojitambuwa na wanajuwa wanatafuta nini.
Mnigeria hawezi kuuza matunda, lakini anaweza kumuajiri mtu amuuzie matunda yeye anaendelea na mishe nyingine zenye akili.
Yale mambo ile ela tuma kwenye namba hii wenzetu walifanya miaka ya 90 wakati internet ndio inaingia Africa.
Dah!!!,Ngoja nijipange nije niende.Kwa Bus mpaka Johannesburg ukiwa na Laki 3 unafika na Chenji inarudi.
Sasa mkuu hapo ni nauli tu au na mambo mengine?Kwa Bus mpaka Johannesburg ukiwa na Laki 3 unafika na Chenji inarudi.
Nasubiri akujibunataka kufika sauzi nikae siku tatu tu keptaun tiketi na makazi ni bajeti ya sh ngapi kwa wmenye kujua tafazali
sawa sawaAkishajibu tusituane
Hahah unataka kusema tunapatana nao Sana?Msauzi atamzingua mtu yeyote Ila mpaka aje kumzingua mbongo.
Ujue kweli mbongo kazingua kweli kweli.
Hivi haya 26 sijui 28 ni gangs zinahusika na nini hasa naskiaga tu28's, 26's, Americans
Linahusiana na nini hilo kundi?Hao wanaharibiwa na Black American movie tu.
Kundi hatari Cape town ni PAGAD na huenda hulijui wala hujawahi kulisikia
Mkuu unaonekana una experience kubwa sana huko kwa madiba.Ngoja mimi nikufupishie, Dunia nzima kazi ni connection yako na network yako tu.
Wabongo wanafanyakazi kwenye sekta zote kasoro serikalini tu, hii inadepand who are you na who is ur friends.
Wanasemaga show me ur friends then i will tell u who you are....
Kama company yako ni wa dizaini fulani ukienda nchi walipo kampani yako utafanyakazi wanazofanya wao, formula iko hivyo.
Kitu cha ziada kwenye maisha kuna bahati, hii God given unaweza kukutana na network ambayo hukuitegemea na hata uliowakuta wakakushangaa, maisha yanachange na mambo yananyooka.
Nikupe tofauti kubwa ya Nigerians na Watanzania, tofauti kubwa ni hii
Mtanzania aliyekimbia shule anaweza kujipa matumaini akifika South Africa mambo tambarare bila ya kuwa na network au connection yoyote mwisho wa usiku usishangae kukumkita kaajiliwa na Mnigeria kwenye salon au kuuza matunda.
Tofauti na Wanigeria wengi niliowaona mimi nchi ile siyo Teenegers, ni watu wazima tena hadi wazee wenye exposure kubwa, unakuta mtu amesafa Uk kama 20 years amepiga hesabu zake ameona kwa mkaburu hesabu zake zitalipa unawakuta dizaini hiyo wapo wengi, wana network worldwide.
Ni ngumu kwa Mbongo eti atoke Marekani aende kuhamishia maskani yake South Africa kwakuwa anayo capital na ameiona fursa.
Kwa kifupi tofauti yetu na wao ni hiyo, wao hakuna school boys kule ni watu wazima wanaojitambuwa na wanajuwa wanatafuta nini.
Mnigeria hawezi kuuza matunda, lakini anaweza kumuajiri mtu amuuzie matunda yeye anaendelea na mishe nyingine zenye akili.
Yale mambo ile ela tuma kwenye namba hii wenzetu walifanya miaka ya 90 wakati internet ndio inaingia Africa.
Vipi UKIMWI,hali ikoje.Nisalimie Wanachuo hasa wa Kitanzania hapo UCT ( University of Capetown ) na wale Wabongo wa Langa na 'Malaya' wazuri wa 'Winnipeg' Mkuu.