Wanapenda chama gani hao?Utakuta kuna watanzania walishazamia SA zaidi ya miaka 30, hawana mbele wala nyuma na ndugu zao hawana taarifa zao.
Wenyeji wa Capetown ambao ni Coloureds wanaongea Kiswahili kama Wabongo, hii ni sababu walishajichanganya na Wabongo ambao wengi wanauzia unga na madawa mengine ya kulevya.
Kuna kitongoji kinaitwa Woodstock, kuna Watanzania kibao unaweza ukadhania upo keko.
Wanawake wa ki-coloureds wengi wanawapenda sana Wabongo. Haya ni baadhi ya maajabu ya Capetown, mji ambao naupenda na kila nikipata vijisenti huwa naenda kula bata Campsbay.
yes mkuu kama una mzigo wako unaweza kupeleka pia.Kama wabongo wengi wanaenda huko kuuza madawa hii inamaana Kuna watumiaji wengi huko si ndivyo..?
Beberu lina ubaguzi limeondoka tz halijajenga mji mzuri kama ya kwa Madiba.Naam,ndio matunda ya beberu hayo.
Beberu lili ijenga Capetown kikweli kweli.
Mbona kama unataka kulia vile kwa jinsi ulivyojielezaWanaelewana compared to who?Maana ni subjective...
Zimbabweans,Namibians,Lesothos,Malawians,etc are more genetically related to South Africans zaidi ya Watanzania...
Cha ajabu unavuka watu wote hao unatembea karibu kilomita 5,000 unavuka jamii kibao zinazoingiliana na South Africans miaka maelfu na maelfu yaliyopita then wewe Mpare unajifanya eti "Baba Yetu Mmoja"....
Weaker societies hua zinajikombeleza sana na stronger societies na haya ndio unayoonesha....sio wewe tu,hii ni global phenomenon miaka na miaka....wewe ni manifestation ya hii phenomenon tu...
Au pia unaweza kuargue "greatness finds greatness" au "talent recognizes talent"Wanaelewana compared to who?Maana ni subjective...
Zimbabweans,Namibians,Lesothos,Malawians,etc are more genetically related to South Africans zaidi ya Watanzania...
Cha ajabu unavuka watu wote hao unatembea karibu kilomita 5,000 unavuka jamii kibao zinazoingiliana na South Africans miaka maelfu na maelfu yaliyopita then wewe Mpare unajifanya eti "Baba Yetu Mmoja"....
Weaker societies hua zinajikombeleza sana na stronger societies na haya ndio unayoonesha....sio wewe tu,hii ni global phenomenon miaka na miaka....wewe ni manifestation ya hii phenomenon tu...
Mkuu kuna kitu hukielewi, Wangoni na wayao wa Tanzania asili yao ni South Africa.Wanaelewana compared to who?Maana ni subjective...
Zimbabweans,Namibians,Lesothos,Malawians,etc are more genetically related to South Africans zaidi ya Watanzania...
Cha ajabu unavuka watu wote hao unatembea karibu kilomita 5,000 unavuka jamii kibao zinazoingiliana na South Africans miaka maelfu na maelfu yaliyopita then wewe Mpare unajifanya eti "Baba Yetu Mmoja"....
Weaker societies hua zinajikombeleza sana na stronger societies na haya ndio unayoonesha....sio wewe tu,hii ni global phenomenon miaka na miaka....wewe ni manifestation ya hii phenomenon tu...
Wanaelewana compared to who?Maana ni subjective...

Jiandae na kumlisha 'unga' kama nyoka, si umesikia kutoka kwa mleta mada.Totos colored vipi nikitaka kuimport mmoja aje tuishi bongo
Coloureds ndio akina nani?Utakuta kuna watanzania walishazamia SA zaidi ya miaka 30, hawana mbele wala nyuma na ndugu zao hawana taarifa zao.
Wenyeji wa Capetown ambao ni Coloureds wanaongea Kiswahili kama Wabongo, hii ni sababu walishajichanganya na Wabongo ambao wengi wanauzia unga na madawa mengine ya kulevya.
Kuna kitongoji kinaitwa Woodstock, kuna Watanzania kibao unaweza ukadhania upo keko.
Wanawake wa ki-coloureds wengi wanawapenda sana Wabongo. Haya ni baadhi ya maajabu ya Capetown, mji ambao naupenda na kila nikipata vijisenti huwa naenda kula bata Campsbay.
Wapo wengi sana wapo saloon ila watu washakariri wengi walioko uko ni wauza madawaAcha Uongo mkuu unajuwa maana ya Asilimia 80%?Pia ina maana ujaona wabongo wakifanya kazi nyingine zaidi ya hayo Madawa?Sumtime usiwapotoshe watu.
Nadhani hapo utalazimika kwenda Uhamiaji.Totos colored vipi nikitaka kuimport mmoja aje tuishi bongo
I mean wengi wengi ni vinyozi wa soloon za kiume so tusikaririWapo wengi sana wapo saloon ila watu washakariri wengi walioko uko ni wauza madawa
Hivu mkuu, nauli mpaka South ni kiasi gani??Utakuta kuna watanzania walishazamia SA zaidi ya miaka 30, hawana mbele wala nyuma na ndugu zao hawana taarifa zao.
Wenyeji wa Capetown ambao ni Coloureds wanaongea Kiswahili kama Wabongo, hii ni sababu walishajichanganya na Wabongo ambao wengi wanauzia unga na madawa mengine ya kulevya.
Kuna kitongoji kinaitwa Woodstock, kuna Watanzania kibao unaweza ukadhania upo keko.
Wanawake wa ki-coloureds wengi wanawapenda sana Wabongo. Haya ni baadhi ya maajabu ya Capetown, mji ambao naupenda na kila nikipata vijisenti huwa naenda kula bata Campsbay.
Indeed!Uko sahihi kwa upande wako na jamaa uliyem-quote pia yuko sahihi, in some contexts!
Vipi kuhusu wangoni, vipi kuhusu wa Swahel/swahili, vipi kuhusu wabantu?
For all we know JMT is almost an anonymous collection of run away fugitives/slaves/natives of certain nations/cultures/nativity/(chimbuko),(asili), etc
Kwa kiasi fulani hoja yake imesimama na inafikirisha!
***Could be a great paper for masters & PhD & stuff!
Just my opinion Chief, let the fact file grind naturally!, Please.
Yes! That's the answer, Tanzania inahusisha asili ya watu wa mataifa mbalimbali kwa kufahamu au kutofahamu.Indeed!
Liko Jambo hapa!
Could be the reason we effortlessly connects with everybody!?
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Panda na table mountain u enjoy jiji la CapeUtakuta kuna watanzania walishazamia SA zaidi ya miaka 30, hawana mbele wala nyuma na ndugu zao hawana taarifa zao.
Wenyeji wa Capetown ambao ni Coloureds wanaongea Kiswahili kama Wabongo, hii ni sababu walishajichanganya na Wabongo ambao wengi wanauzia unga na madawa mengine ya kulevya.
Kuna kitongoji kinaitwa Woodstock, kuna Watanzania kibao unaweza ukadhania upo keko.
Wanawake wa ki-coloureds wengi wanawapenda sana Wabongo. Haya ni baadhi ya maajabu ya Capetown, mji ambao naupenda na kila nikipata vijisenti huwa naenda kula bata Campsbay.
Sio kufika tu nimeishi cape town na kysna , sema kingine .!!Ulishafika haya maeneo? Unafahamu gangs za Capflats?
MjerumaniBeberu angeendelea kukaa Dar es salaam kwa muda mrefu jiji lingekua kama capetown.