Ukifata ushauri wa humu unaweza usioe

Ukifata ushauri wa humu unaweza usioe

Joined
Oct 1, 2013
Posts
30
Reaction score
10
Kuna people kazi yao kuponda kuwa kinyume na ukweli utasikia wanawake wa kuoa ni darasa la saba au form four eti wenye degree hawana unyenyekevu.

Watu wanaisupport tu. Utasikia wanawake wanene hawajui kukataa wanaume, mara wembamba ni michepuko, kuna vitu vingine ni ushamba eti kabila fulani hawajui mapenzi.

Naamini humu wasomi ni wengi so acheni hayo mnayoyafanya.
 
Bora waambie maana wamezidi kila theme humu ndani ni wanawake, hawajiamini kabisa baadhi yao. Kama wewe unaona uoe std 7 yes is u ila kuna ambao hawataki kusikia hao std 7. Kila mtu na chaguo lake.
 
Watu wanaishi kwa hisia zaid hivo kufanya conclusion kupitia generalization wakisahau kuna exceptions,akili za kuambiwa changanya na zako kisha upembue
 
Kuna pple kaz yao kuponda
kuwa kinyume na.ukwel
utaskia wanawake wa...kuoa ni std 7 au form four
Et wenye dgr hawana unyenyekevu
Na mijitu inasuport tu NDIO KWELIII
Haya..utaskia wanawake wanene...hawajui kukataa wanaume...mara wembamba ni michepuko...wafup sjui...nini haaa...kuna vtu vngne ni ushamba
Et kabila flan hawajui mapenz
Naamin humu wasomi ni weng...so achen ujinga...think kisomi positivly...ni hayo tuu

Chukua akili za kuambiwa changanya na zako utapata jibu
 
Tatizo lako unadhani kwamba hiyo miaka uliyoendea shule imekupa excuse ya kuponda experiences zilizokusanywa miaka zaidi ya mia kabla wewe hujazaliwa....ambazo by the way still watu wengi( walio wasomi sana tu) wanazikubali.

My point is , not all of them are wrong...

Kuna pple kaz yao kuponda
kuwa kinyume na.ukwel
utaskia wanawake wa...kuoa ni std 7 au form four
Et wenye dgr hawana unyenyekevu
Na mijitu inasuport tu NDIO KWELIII
Haya..utaskia wanawake wanene...hawajui kukataa wanaume...mara wembamba ni michepuko...wafup sjui...nini haaa...kuna vtu vngne ni ushamba
Et kabila flan hawajui mapenz
Naamin humu wasomi ni weng...so achen ujinga...think kisomi positivly...ni hayo tuu
 
hahah kuna watu kazi yao matusi tu japo post haihusiani kabisa, wao hutafuta kipenyo watukane
 
Tatizo lako unadhani kwamba hiyo miaka uliyoendea shule imekupa excuse ya kuponda experiences zilizokusanywa miaka zaidi ya mia kabla wewe hujazaliwa....ambazo by the way still watu wengi( walio wasomi sana tu) wanazikubali.

My point is , not all of them are wrong...

We nawe unakurupuka...ujaona nmesema KUNA PPLE....
 
Back
Top Bottom