Ukifanya Kazi hizi mwisho lazima ufe kwa ngoma (75%)


mmh wapo wengi sana kama ni ivyo cha msingi na cha sekondary ni kujichunga 2.
 
sasa hapo kuna kazi gani ambayo haijatajwa?so kumbe kila kaz unayofanya una 75% yakupata ngoma.kama walimu vile
 

umewamaliza mkuu.tz ukimwi m2pu mungu 2nusuru
 
Mmewasahau waganga wa kienyeji na tabia yao ya kutaka kuwaekea wanawake dawa
 
mmh wapo wengi sana kama ni ivyo cha msingi na cha sekondary ni kujichunga 2.

Kujichunga kwa kuvaa chupi ya chuma na kupiga kufuli kubwa ambapo funguo wake utatakiwa uutupe baharini ama mto wenye maji mengi yenye maji mengi na spidi kubwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…