secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 21,617
- 44,482
Natarajia kufa.Ulishakufa ukagundua hilo? Give us ua experience nigger
Elezea kidogo mkuu.Kifo ni mwanzo sio mchakato
Post no#6 mkuuElezea kidogo mkuu.
Kama bado hujafa usitueleze ambayo huyajui kabisaNatarajia kufa.
Mimi naamini nikifa hali inakuwa kama ilivyokuwa kabla sijazaliwa. Napotea mazima.Kifo si mwisho wa mchakato wa uhai wetu, bali ni mlango mtakatifu unaofungua ukurasa wa mwanzo mpya na wa milele. Mwili wa nyama unaporudi mavumbini na kukamilisha safari yake ya kibiolojia, roho haifi; inavua vazi hili la udongo lenye mipaka, maumivu, na machozi, tayari kuvuka ngβambo ya mto wa uzima.
Huu ni wakati wa kiroho ambapo nishati ya kimungu iliyomo ndani yetu inarejea kwenye chanzo chake kikuu, ikiwa imeandaliwa kuanza safari mpya katika ulimwengu wa utukufu na mwanga usiotiwa giza.
Katika hatua hii, fahamu yetu haizimiki bali inalindwa na kufanywa upya, ikisafiri kwa amani kuelekea maskani ya milele ambako hakuna tena muda, uzee, wala uharibifu, bali ukamilifu wa upendo wa kimungu.
Kwani ukilala yaani ukiwa fofofo unajisikiaje?Kama bado hujafa usitueleze ambayo huyajui kabisa
Kulala sio kufaKwani ukilala yaani ukiwa fofofo unajisikiaje?
Kufa physically au?Natarajia kufa.
Uko sahihi kwa hiyo imani yako lakini uhalisia hauko hivyoMimi naamini nikifa hali inakuwa kama ilivyokuwa kabla sijazaliwa. Napotea mazima.
Mauti ziko mbili Wewe unakufa ipi? Usisahau kuacha wosia na rambirambi zako atapewa nani?Natarajia kufa.
r.i.p in advance gentlemanNatarajia kufa.
Sasa ukifa hali utakayokuwa nayo ni sawa na ile unayopitia ukiwa umelala fofofo.Kulala sio kufa
Kufa mazima. Yaani napotea mazima.Kufa physically au?
Umejuaje?Sasa ukifa hali itakayokuwa nayo ni sawa na ile unayopitia ukiwa umelala fofofo.
Usingizi wa pono ni sawa na kifo π.