BRAZA CHOGO
JF-Expert Member
- Jan 31, 2023
- 938
- 2,417
Sisi wenye vichwa vikubwa hatukataliwi
Mwanamke akiwa amekuelewa hawezi kukuzungusha, wanaume mtakuja kulielewa hili lini?Mwanamke wakunisumbua na ameshanielewa na mwona mzugaji na mnafki , mambo ni mengi kama kanielewa anasema tu yes chap , mambo ni mengi mda mchache.
Mpenzi wangu , mimi nimeshaelewa , ila wewe hata ukinizungusha hakuna shida😊Mwanamke akiwa amekuelewa hawezi kukuzungusha, wanaume mtakuja kulielewa hili lini?
Nitakuzungusha hadi uache uchoyoMpenzi wangu , mimi nimeshaelewa , ila wewe hata ukinizungusha hakuna shida😊
Mimi sio mchoyo ujue😆😆😆Nitakuzungusha hadi uache uchoyo
Asitushughulishe!Punguani
I second this, was about to say the same thing.Hizo ni akili za wanawake wa bongo
Exactly, ndio vile mwanamke kakuelewa anaanza kukuletea drama, just go straight to the point.Ni kweli, lakini mwanamke na yeye ni binadamu, kuna ile umekutana na mwanamke hata bila kumsemesha anapata mchecheto, hakujui humjui. Mambo hayawi mengi kwenye scenarios kama hizo mkuu.
Ni njaa na tamaa pia zinachangia wanatafuta kupata pesa, ila ni upumbavu sana.I second this, was about to say the same thing.
Hizi idea za wanawake wakibongo kukuzungusha unapomtongoza ni za kiwack sana, huwezi kuona kwa wenzetu.
Tatizo ni kwamba wanaanza kuomba pesa nao kwa hiyo inakuwa ni mchanganyiko mtupu, mtu anabaki hajui kama amekubalika au ni pesa tu inatakiwa😁.Ni kweli, lakini mwanamke na yeye ni binadamu, kuna ile umekutana na mwanamke hata bila kumsemesha anapata mchecheto, hakujui humjui. Mambo hayawi mengi kwenye scenarios kama hizo mkuu.
😀😀.Punguani
Umeanza uchokozi FIFOTaratibu bwashee eeh huyo wako ilikuaje kuaje je alikua single mother??
tena mate yenye mnuko wa pombe na gede then what pidKwenye huo muda kuna mwamba anaisugua , na anapaka na mate kama kilainishi kwa wivu mkubwa bwashee
Sikuhizi bado mnatongozana?Hiyo ndo principle mating demand ATP. Ukimtongoza mwanamke akakukubali haraka jua kuna kitu hakipo sawa either una kimojawapo kati ya hivi
1.Una pesa
2.Mfanyakazi
3.Kastaafu umalaya anatafuta wa kustaafia
4.Anataka ndoa ili amiliki mali ulizo nazo wale pamoja na watoto wake ili wewe upigwe chini
5.Amekuona una akili ndogo
My bro huyo hajafuata upendo wako